Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Umesahau kauli mbiu yao ya kuombea chakula ukisema jirani yako ni ndugu sasa vipi majiran wa mbali wameruhusiwa alafu wa karibu kazuiliwaMbona ni kauli ya kawaida sana ..taifa kama Nigeria, Egypt , S.Africa mbona hawajatajwa ivyo wandugu msilalamike
See a sample of flights between Kilimanjaro and Dar per dayWatanzania wanaopanda ndege ni kidogo sana... wa kuhesabika.
Kuna professor mmoja nilimuona akiizungumzia Tz through NTV, jamaa akasema shida Wakenya hawaijui Tz kqma ambavyo wa Tz wanajua kuhusu Kenya, mtangazaj akamuuliza kujua inasaidia nn yule professor akamjibu "ukimjua mshindani wako ni wazi umeahinda vita"See a sample of flights between Kilimanjaro and Dar per day
This is only ATCL, bado precision, hapo ukigusa Mwanza ndio balaa, Bado Mbeya na Dodoma
Visit
Www.atcl.co.tz View attachment 1522349
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya watafeli huwezi kushindana na tz .alafu itawapa motivation ATCl kuexpand sana kwa sababu ya soko litakalo achwa na Kenya airways.
Tupee takwimu za idadi ya abiria bwege weye, safari zaweza kua ndege zinasafirisha korosho hamna nguvu hizo kiuchumi kama watanzania kusafiri kwa maelfu na ndege na per capita ya 1080 hahahhaha!See a sample of flights between Kilimanjaro and Dar per day
This is only ATCL, bado precision, hapo ukigusa Mwanza ndio balaa, Bado Mbeya na Dodoma
Visit
Www.atcl.co.tz View attachment 1522349
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ni kauli ya kawaida sana ..taifa kama Nigeria, Egypt , S.Africa mbona hawajatajwa ivyo wandugu msilalamike
Ila Kenya Lockdown yenu ya maigizo kweli,
Nia yenu ni kula hela za mabeberu tu.
Hofu yangu ni majibu ya Magufuli yanaweza kuwa na athari zaidi kwa mahusiano ya nchi hizi hasa kibiashara tunategemeana sana.
Wakenya na nyie someni upepo utawala huu sio wa kuubipu, una counterattack za hatari na za kushitukiza.
Choko choko zilianza kibiti mpaka Sasa imebaki historia.
Magaidi wa Msumbiji walianza kuchezea sharubu mpaka Sasa kimya hatuoni hata video mitandaoni.
Malawi wameamua kutulia tu wanasubiri awamu nyingine ndio waanzishe chokochoko zao.
Sasa nyie Jirani zetu, itafika wakati tutakaa tu meza moja...
Huu ugonjwa upo na utaendelea kuwepo mpaka pale chanjo itakapopatikana, tujifunze kuishi nao.
The same way your politicians have been fucking you with fake cosmetically butifièd statistics cooked by Ford Kenya and Jubilee conmen, tafuta mitandaoni huko you wicked witchTupee takwimu za idadi ya abiria bwege weye, safari zaweza kua ndege zinasafirisha korosho hamna nguvu hizo kiuchumi kama watanzania kusafiri kwa maelfu na ndege na per capita ya 1080 hahahhaha!
kalb hayawan
The same way your politicians have been fucking you with fake cosmetically butifièd statistics cooked by Ford Kenya and Jubilee conmen, tafuta mitandaoni huko you wicked witch
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mtupu.Hivi unajuaa kuwa Kenya airway inategemea sana ruti ya tz?mtaumia sana
Kenyans mazee, Show some respect to your bosses,Yaa kalb,
Sitafuti nnachojua, purchasing power ipo wazi, raia wenye huo ubavu Afrika ni ,Nigeria, SA,Egypt,Kenya ,Morocco, Angola na Ghana.
Nyie MAKAJAMBA.
KALB HAYAWAN
Which year again?, stale news leta ya mwaka huu wa 2020 wakati wa COVID-19 tuone.Kenyans mazee, Show some respect to your bosses,
Are you sure you are not among hundreds of Kenyans teaching our kids English in elementary schools in Tz? View attachment 1522521
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana hamhesabu waathirika wa COVID hapo ushetanini tanganyika?Idiot binadamu yupi ambaye haesabiki?! Shahawa za baba yako zilipotea bure
Jaribuni, tutalifanyia figisu kabisa, litagonganishwa angani tutarusha kijidege kisichokua na rubani(drone),oops!Kwenu kuna korona lakini tukitaka kuja hamtaweza kutuzuia baba wa afrika mashariki.
Jiwe anawacheck anasema hiiiiiiiiiiiii
Safi Sana, kila mtu abaki kwao, tusubiri Magufuli atakavyo reactMimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.
DAR-Nairobi route contributes about $25M per year to KQUongo mtupu.
Soma hiyoTupee takwimu za idadi ya abiria bwege weye, safari zaweza kua ndege zinasafirisha korosho hamna nguvu hizo kiuchumi kama watanzania kusafiri kwa maelfu na ndege na per capita ya 1080 hahahhaha!
kalb hayawan