Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Umesahau kauli mbiu yao ya kuombea chakula ukisema jirani yako ni ndugu sasa vipi majiran wa mbali wameruhusiwa alafu wa karibu kazuiliwaMbona ni kauli ya kawaida sana ..taifa kama Nigeria, Egypt , S.Africa mbona hawajatajwa ivyo wandugu msilalamike