Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

Kenya imeiacha Tanzania parefu sana kimaendeleo, shida ni nini?

Exposure kwa huyo wa high school una maanisha nini?
Ukiishi na watu wenye exposure kwenye mazingira yaliyokuzunguka automatically ubongo wako unafunguka mkuu.
Ila kama watu waliokuzunguka wote wana uono mdogo automatically inakuathiri pia hata kama uko na vyeti.
 
SGR na Nyerere Dam vikiisha Kenya watatafutana maana bandari ya Mombasa itakosa mizigo yote ya maziwa makuu!

Kenya elimu inafundishwa in English na kuiunga nchi na international transfer of capital , technology and international market maana Kenya wanauza nje bidhaa nyingi kuliko Tz sababu ya kuweza kuwasiliana in English

Kenya ni nchi masikini kuliko Tz ni suala la muda tu kuipita iwapo Rais atakomaa na miundombinu na kuzuia upigaji ambao tayari umeshamiri. Magufuli alishaipita Kenya katika ukuaji uchumi ila akafa kwasasa tumerudi nyuma!

Tanazania tunahitji kiongozi creative wa nchi maono ya kiuchumi foward mzuri wa trick za kufunga magori sio kukata chenga tu tutatoboa tu ni bahati mbaya kiongoz wa wa nchi mungu amemtanguliza kabla ya kutumia kipaji chake vizuri sio lazima kuongea mengi nyie wenyewe mnajua na mnajionea
 
Wakenya hawakufukuza Wazungu, mpaka leo ukienda maeneo kama Westgate kuna wazungu wanaishi kule,..sisi tulibaki na Wahindi.

Alafu Zamani nchi ya Kenya ilipeleka vijana wengi sana sana Ulaya na Amerika kusoma,..hiyo ilisaidia sana maendeleo ya Kenya mpaka leo.

Yote kwa yote Lugha(English),..sisi tulibugi kwny hili ndio maana wanatutesa mpaka hapa kwetu...

British east africa colony walichagua kenya nairobi kuwa headquoter wakikusanya malighafi za uganda na tanzania ili kujenga viwanda kenya na vituo vya kibiashara pia;lingine watanzania na hasa wenye uelewa ndio wanatuangusha wanapotuletea wawekezaji wababaishaji halafu wanaungana na wapinga maendeleo mf;kiongozi fulani anaposema bwawa la mwalimu nyerere halina faida kwa taifa na baadhi ya watanzania wanasapoti huu ujinga hatuwez fika kwa maono finyu hivi
 
Hujajua tu walivyo wajanja kwenye kilimo,wanalima horticulture na floriculture wanauza nje kwa pesa nyingi sana then wanakuja Tz kununua mahindi tu huku kwenye akaunti zao wana mshiko wa kutosha uliotokana na mauzo ya nje ya nchi.
Nakupa mfano ,ekari moja ya mahindi piga ua garagaza huwezi toa milioni 3 ila ekari moja ya nyanya unaweza toa milioni 30,wanachofanya wanalima hizo horticultute wananunua mahindi,

Mdugu tumia mbinu hizo sasa unataka elimu gani tena zaidi ya hiyo
 
Uchumi wa Tz upo Top ten ila uchumi wa Kenya ni mkubwa karibia mara 2 ya wa Tanzania. Uchumi wa Kenya ni mkubwa sawa ukilinganisha na nchi za zamani za Africa Mashariki kwa pamoja (Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi).
Usijisifie umekuwa wa pili darasani ukiwa na D wakati aliyekutangulia ana B+

GDP ya kenya ni $91 bn ya Tanzania ni $68 bn sio mbali sana ila madeni yanatuangusha
 
1. Katiba yenu ni mbovu inakiuka sheria za natural justice mtu anaweza kaa jela without trial for a long time.
2. Mfumo wenu wa kibiashara to foreign investors kidogo unaweka vikwazo ambavyo nchi inayojaribu kuwa competitive haifai kuwa nazo. Mfano work permit ni ngumu kupata na tena very expensive. The world is now a global village wacheni kuji-isolate.

3. Foreigners can't own land unless for investments above $500,000. Land is a basic factor of production. Na hata ukiwa na iyo $500,000 lazima ungoje iyo process ikamiliki for more than 1 yr. Yaani mnataka investor angoje for that long?

4. Too many centers of power with unpredictable policies. Mara kwa mara huwa ninaona ma Regional commissioners in Tanzania wakiwaingilia investors hadharani ili kufurahisha wananchi na pia enforcing policies ambazo kana kwamba they are revenging against investors. Kutokuwa na katiba inayotoa ulinzi kwa investors haisaidii.

5. Kiswahili. Nyerere was very wise to teach you swahili ili kuunganisha makabila tofauti ya Tanzania but the effect of that too was to isolate you from mfumo wa globalisation ambao ndio ulikuwa unaenea kote duniani from the 1980's. Ukweli ni kwamba languages kama English ndio global languages, I can't imagine a Tanzanian youth trying to learning coding ili ajihusishe kwa hii dunia ya artificial intelligence yet their primary language ni kiswahili. Iyo inafanya mambo yake kuwa magumu sana.

6. Policy enforcers wenu are loyal to the president not constitution. Of course Kenya to some extent tuko hivyo but the amount of bootlicking in Tanzania is mind-boggling. Hii nafikiri explains ile point yangu ya policies kukuwa unpredictable.

7. Watanzania ni ngumu sana kukosa chakula kwa hivyo hamjihusishi sana na biashara kubwa kubwa. I cannot believe that kule mikoa ya Iringa mtu anaweza akanunua eka moja ya shamba na $100. Na hata sehemu za morogoro I saw sijui $400.
8. Remittances from Tanzanians living abroad ziko chini sana.

Bila hivyo vikwazo nimetaja hapo, Tanzania would be the largest economy in East Africa. Sioni vile Kenya tungewafikia. You guys can feed yourselves na bado mko na mashamba makubwa sana yako idle. Mko na natural resources ambazo sisi hatuna. Barabara na infrastructure mnazidi kujenga. Umeme mnazidi ku invest katika iyo sekta.

Having said that, Tanzania is the most beautiful country in East Africa. Mko na ecosystems mbalimbali na natural beauty mzuri sana. I still don't think you have explored your potential in Tourism that much.

One notable observation that I have made about TZ ni kuwa if a person is upper middle class na kuendelea in Tanzania then they are rich rich hakuna kubahatisha. While huku kenya mtu anaweza kuwa hivyo lakini kuna cycles ambazo anashukashuka na kupanda. But in Tanzania if you are rich, you are rich. It looks like upward mobility in Tanzania ni ngumu sana kwa wale wako chini.

Tanzania,kama una pesa is the best country to live in hapo hata mimi ninakubali. Middle class yenu niko sure they enjoy sana, kama vile middle class ya south africa does.

Kenya nawakubali asee you tells facts kazi kwetu watanzania kurekebisha hizo mapungufu pia tunapeana tu kazi kwenye sehemu nyeti za kiuchumi bila kuangalia weledi wa mtu kuna watu positivity na negativity huwezi kumpatia mtu wizara ambaye mawazo yake ni kuifirisi badala ya kuiendeleza ukategemea kufanikiwa never
 
60% u have exaggerated labda kwa vitunguu tu
Our major agricultural commodities ni maize na hizo we prefer to get from Mexico because of unpredictable policies from TZ. Rice we get from Pakistan , Wheat we get from Ukraine

Although I agree, Tanzania has immense potential in Agriculture.
Tukiwekwa one on one apart from Dairy farming, sioni vile a Kenyan farmer can compete with a TZ one on costs. Tanzania u have the capacity for scale kama kule Australia kwanza I understand agricultural machinery ni Zero rated in terms of tax, no import duty. What u need ni investors tu.

Kwa valuable commodities like Palm oil and Sugar Tz, South Sudan ,na DRC congo mko na potential kama kina Malaysia but hizo sekta have not been explored beyond your domestic consumption.

Agriculture has one major weakness though. Kukinyesha everyone has produce kwa hivyo bei zinashuka and vice versa. In the modern era, no economy has developed much kutokana kwa Agriculture.

TZ u now have gas na nafikiri the prices are competitive globally, wacha tuone kama u will use that to help grow manufacturing. Kwanza considering your neighbours ni Resource rich countries like DRC na Zambia na tena hizo hazina ports

Wewe ndugu yangu nimekukubali watu wa nje ya tanzania wanaona fulsa za uchumi wetu kupaa like plane hivi ila walioko huku hawaoni najiuliza 5th prezident hivi vitu alitoawaga wapi;msemo wa one day tanzania could be a donner country like those which donates
 
Kasage chupa umeze na panado we mlalamikaji usiyekuwa na majawabu ya unachokilalamikia! IDIOT!
Huna hoja popoma wewe!!

Watanzania wa namna yako ndio ninao zungumzia..mijitu kama nyie mnachojua ni Uchawa na kusifia viongozi wenu wajinga na wapumbavu na kusherehekea maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom