Kenya Ina Kipi Cha Kujivunia Toka Ipeleke Majeshi Somalia Takribani Miaka Nane Iliyopita?

Si ndivyo nyie husema alas!
Itdoesn'tItdoesn't affect anyone. After all,Kenyan girls are oblivious of Tanzanians existence!
Geez, hiyo sasa tuseme ni kujitoa ufahamu. Wakati most of the youth in Kenya role models wao ni Tanzanians.
 
Come on man, do not lecture me about EAC and stability. I am better than that.

Kubaliana na ukweli wa mambo, otherwise mtaendelea kuongeza yatima na wajane kila siku. Angalia vile soldiers wanauwawa kinyama. View attachment 1001952
very sad video lakini kenya isijitoe somali itwapa nguvu hawa jamaa,Aluta continua
Be positive msistee
c.franscisco,aru also advicing kdf leave somalia?if so ,what will be the aftermath of kenya having shabaab as neighbour.i see this sensitive issue is discuss as a joke,why?
 
Mr. Simeone's song, read my OG post and not the comments.

Thanks, Now you Dismiss. (Luke 2:29)
 
My fellow Kenyans, you should know people! A genocide happened in 1994, leading to the deaths of 800,000 innocent people just accross the borders of our neighbour and the boys at JWTZ were just idling in their barracks high fiving each other.

ok!!
 
very sad video lakini kenya isijitoe somali itwapa nguvu hawa jamaa,Aluta continua

c.franscisco,aru also advicing kdf leave somalia?if so ,what will be the aftermath of kenya having shabaab as neighbour.i see this sensitive issue is discuss as a joke,why?
she opened the thread to humiliate Kenyans pretending to be cordial. Now she's saying that I envy you!what a joke !!
 
My fellow Kenyans, you should know people! A genocide happened in 1994, leading to the deaths of 800,000 innocent people just accross the borders of our neighbour and the boys at JWTZ were just idling in their barracks high fiving each other.
Hahahahahahahahah, remember that JWTZ liberated nearly all Southern African Countries including Seychelles and DRC against M23, KDF liberated none, with history of terrible failures in South Sudan and Somalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba muufunyie kazi huu ushauri wangu
KENYA ONDOENI MAJESHI SOMALIA, THEN LINDENI MPAKA WENU wa SOMALIA ,ZANZIBAR NA UGANDA TO THE MAXIMUM
THEN WEKEZENI KWE INTEL KWA NGUVU ZOTE THEN MUWE MNAFANYA OPERATION ZA UHAKIKA SOMALIA ACCORDING TO INTEL REPORTS
nyoka unampiga kichwani sasa nyie....
alqaida alkua na wapiganaji wengi baada ya us kupeleka jeshi kilimkuta kama kinachowakuta nyie...
baada ya kubadilisha mbinu na kuwatumia seal amewashinda nowadays alqaida imebaki jina tuu!!!!
unless kuna viongozi wana maslah na iyo vita ila kama mnataka mshinde badilishen tactics

naongea kama former security analyst wa....
 
NEVER,,,A Danganyikan who feeds on people living with Albinism can never be and will never be a role model to anyone not even a dog
Can you bring forth any proof of what you have just said? Tz na Ke ni wapi kuna cannibals?
 
naomba muufunyie kazi huu ushauri wangu
KENYA ONDOENI MAJESHI SOMALIA, THEN LINDENI MPAKA WENU wa SOMALIA ,ZANZIBAR NA UGANDA TO THE MAXIMUM
THEN WEKEZENI KWE INTEL KWA NGUVU ZOTE THEN MUWE MNAFANYA OPERATION ZA UHAKIKA SOMALIA ACCORDING TO INTEL REPORTS
nyoka unampiga kichwani sasa nyie....
alqaida alkua na wapiganaji wengi baada ya us kupeleka jeshi kilimkuta kama kinachowakuta nyie...
baada ya kubadilisha mbinu na kuwatumia seal amewashinda nowadays alqaida imebaki jina tuu!!!!
unless kuna viongozi wana maslah na iyo vita ila kama mnataka mshinde badilishen tactics

naongea kama former security analyst wa....
Wasipoelewa shauri yao, tutaendelea kutuma condolences tu.
 
Back
Top Bottom