Kenya ina maabara 2 tu za kupima Corona, vitanda 160 vya ICU, Kaunti 22 hazina ICU kabisa

Ohh sisi tuna ICU 350 imeisha sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hamutawaona kwa kipindi cha siku tatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kati ya 162 ICU beds kuna zingine hazifanyi kazi mbovu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ohh sisi tuna ICU 350 mamaeee Nicxie komora096
 
Halafu ukiwaambia ukweli wanakuambia eti unafurahia matatizo yao,
Kila siku tunawaambia humu wapunguze uwongo na sifa za kijinga hawasikii... Wanadhani sijui wapo nairaland humu.
Hyo ni data ya kutoka kw public hospitals...
Hii data imechanganya hospitali zote...
Piga hesabu vizuri na ujue katika hyo ya pili hakuna nairobi county...

Unafikiria hapa tumeingia bure
Top 10 Countries with Improved Healthcare System in Africa 2020 | The African Exponent.
bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na katibu wenu mkuu wa Wizara, nani mwenye jukumu na mwenyekujua ukweli?, tuache kumsikiliza mtendaji mkuu wa serikali badala yake tuamini vikaratasi ambavyo walioviandika hawajulikani.

Huyo anayezungumza ndiye mwenye sauti ya mwisho yanayohusu uwezo wa nchi yote ya Kenya katika mambo ya Afya, private + Government. Hahahaha,hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado huamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Piga hesabu katika hospitali za serikali pekeake halafu urudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuletee za kwenu, mdomo mwingi na wakati tangu juzi unawashwa tu na hujaleta chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza lazima mkubali kwamba huwa mnapenda sana kudanganya kuhusu uwezo wenu, ninyi hamna lolote ni watu wa kupenda sifa za kijinga.

Sisi hatujawahi kujisifia kuhusu idadi ya ICU, au idadi ya maabara, kwahiyo haina maana yoyote kutaka kujua idadi yake, tunawacheka kwasababu mnadanganya ili muonekane mpo juu wakati hamna lolote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww komora don't be lazy, just do ur arithmetic properly and u can't find those 518 ICU beds kwny hyo data I tell you.
 
KWa hiyo kuwa na idadi kubwa ya vitanda vya icu na maabara au kuwa na uhaba wa vyote viwili ni sifa???? Kwenye janga hili

Kwa nini mnabishania vitu nonsense, huko Italia watu wamekufa kama kuku kideri kwa sababu ya upungufu wa mashine za kupumulia, marekani ina safa kwa kukosa tu vitu vya kuvaa manesi na madaktari kujikinga sembuse maabara

Mabishano mengine hayana mchango wowote kipindi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee!!ukwel mchungu jamani
Hesabu hospitali za serekali pekeake halafu uone utakacho kutana nacho..nimekuletea in full ndio uelewe vizuri...halafu zile county zako 22 ziko hapo hapo kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unafikiria tuliingia bure hapa
Top 10 Countries with Improved Healthcare System in Africa 2020 | The African Exponent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sio kubishana ni kurejebishana walikuja na data za uongo kwa ajili ya sifa za kipuuzi sasa tuna warekebisha wajue bado wako nyuma miaka 100
 
Hatujadili maradhi hapa...usitutie maneno vinywani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…