Kenya ina maabara 2 tu za kupima Corona, vitanda 160 vya ICU, Kaunti 22 hazina ICU kabisa

Ukweli, Kenya walikuwa na uwezo kupima Corona kabla ya TZ.
Uwepo wa maabara ni moja lakini ili upime inabidi uwe na vipimo na wataalamu wanaojua kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuleta habari za Amerika na Europe humu, cc tunaongelea mambo yanayotuhusu ushawahi kuona Europe na Amerika wanasolve mambo yao kwa kupitia data ya Africa? Hapa tunavyopeana makavu usidhani ni cc tu humu hata viongozi wetu wanaona na wanachukua hatua stahiki km vitanda havitoshi vitaongezwa don't be fool
 
Hizi burukenge za jubilee zina akili fupi sana.
 
Kila siku nasema Tanzania na Kenya hamna wa kumcheka mwenzake na ushindani wetu ni wakuvimbishiana vifua tu lakini kwenye real world sisi wote ni watoto tunaoishi kwa wazazi wetu.
 
Wew chizi hivi huwa mnapata faida gani kuchongoa mdomo nchi za wengine wakati hapa kwetu tanzania Hali Ni tete?

Hivi Nyie huwa mna akili kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza Pressure..hawa jamaa wawili ni watani wa jadi.
Kama wewe ni mgeni hapa utapata taabu sana!

Btw..Hata kwenye msiba watu hutaniana na kucheka.
 
minus Nairobi ni 160.
 
Hii list mpelekee Huyu Gavana wenu, kwahiyo huyo Gavana hajui kitu zaidi ya huyo aliendika hicho kikaratasi?. By the way hiyo karatasi umeandika wewe au nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye hili Kenya na Tz tunachekana?!! Tuombe Mungu kwasababu uwezo wa kupambana na hili janga hatuna.
 
Punguza Pressure..hawa jamaa wawili ni watani wa jadi.
Kama wewe ni mgeni hapa utapata taabu sana!

Btw..Hata kwenye msiba watu hutaniana na kucheka.
Mwambie huyo jamaa hajui hili jukwaa ni war zone tunapigana vita visivyoumiza tukiwa kwenye hili jukwaa wabongo wote ni team Magu na wakenya ni team uhuru tunaweka siasa pembeni tunapambania kombe
 
minus Nairobi ni 160.
Minus Nairobi is 58 ICU! That means Nairobi has 102 ICU!



That figure leads us to another discovery i.e. At 144, Dar has more ICU beds than Nairobi

93 from Muhimbili National Hospital

10 from Regency Medical center

5 from Aga Khan Hospital

9 from Jakaya Kikwete Cardiac Institute

18 from Muhimbili Orthopaedic Institute (more source)

3 from Lugalo Military Hospital

6 from Shree Hindu Mandal Hospital

Both Ocean Road Cancer Institute (largest in East and central Africa) and Sali hospital have ICU beds but number not stated on their websites!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
 
Nyie vimavi huwa mna-bore aisee! Untill Jeff Koinage has decided to make u foools swallow ur pride!



#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
Hii video ni ya zamani. Wewe tatizo lako ni gani? Mbona joto la jiwe na Geza Ulole mpo obsessed na Kenya kiasi hiki? Hakuna Mkenya aliye obsessed na TZ hivi. Mimi huwa siwazi Tanzania kabisa. Hapa JF mie huja kusoma Kenyan news tu. Sina haja ya kufahamu nini kinaendelea Tanzania. Sasa sielewi mbona watanzania wanatuwaza sisi Wakenya usiku na mchana. Sielewi wanaona nini kizuri kwetu? Mimi binafsi sioni kama Kenya ina umuhimu wowote wa kufanya Watz kukosa usingizi kiasi hiki na kushinda wakipost mambo ya Kenya humu. Kwa siku moja tu Geza anaweza post habari ishirini tofauti kuhusu Kenya. Hakika Watz wanapost mambo ya Kenya sana hata kushinda Wakenya wenyewe. Mimi mwenyewe ni nadra sana kupost habari yoyote ya TZ. So wacheni kuwa stalkers bana. Sasa Kenya ina stalkers from TZ? Kwani Kenya ni mrembo kiasi gani? Get a life guyz.
 
No one is obsessed with Kunyaland, its just u r using our JF to propagate lies that seek to glorify ur Ukunya ego n we can't just allow that! U see now u claim 2 months is zamani! Apparently Dar es salaam has more ICU beds than Nairobi

Minus Nairobi is 58 ICU! That means Nairobi has 102 ICU!



That figure leads us to another discovery i.e. At 144, Dar has more ICU beds than Nairobi

93 from Muhimbili National Hospital

10 from Regency Medical center

5 from Aga Khan Hospital

9 from Jakaya Kikwete Cardiac Institute

18 from Muhimbili Orthopaedic Institute (more source)

3 from Lugalo Military Hospital

6 from Shree Hindu Mandal Hospital

Both Ocean Road Cancer Institute (largest in East and central Africa) and Sali hospital have ICU beds but number not stated on their websites!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…