Kenya ina maabara 2 tu za kupima Corona, vitanda 160 vya ICU, Kaunti 22 hazina ICU kabisa

Basi wataelewa kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yako alivyoachia ukaingizwa wewe bila Condom unadhani alifanya jambo la maana?, alikua na uhakika gani kwamba baba yako hakuwa na Ukimwi? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
WEwe jamaa ni mpumbavu sana! Unacheka kwa jirani wakati kwako kunawaka moto. Tuombe Mungu tu atuepushe na hili janga.
Sio Kenya wala Tanzania yenye uwezo wa kupambana na haya maambukizi.
 
Inatakiwa uelewe kwanza alichocoment hapo juu na uelewe kwanini nimemjibu hivyo,
Nje na hapo utaishia kucopy na kupaste.
 
Hujaelewa hakuna mtu kasherekea ila alikua anawekwa sawa ndugu yako kwa kuja na takwimu za uongo ushuzi mtupu kisa anataka sifa za kipuuzi
Sawa ichoboy. Niliona picha yako kwenye twitter. Kumbe wewe ni mwarabu kiukweli. Nilidhani ilikuwa utani tu. Itakuwa wanawake wanakukimbiza sana aisee.
 
Kuna nyani mwingine jana alikuwa anajaribu kuongopa eti kenya kuna more than 1000 ICU...nilibisha kwa nguvu zangu zote!
 
Sawa ichoboy. Niliona picha yako kwenye twitter. Kumbe wewe ni mwarabu kiukweli. Nilidhani ilikuwa utani tu. Itakuwa wanawake wanakukimbiza sana aisee.
Hahahahahahahahahaaaaa acha woga let's carry-on battle [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inatakiwa uelewe kwanza alichocoment hapo juu na uelewe kwanini nimemjibu hivyo,
Nje na hapo utaishia kucopy na kupaste.
Hayo nilokulete yanajibu kila mtu.... hakuna mtu alikua na uwezo wa kupima corona nje ya SA na senegal, sisi wengine tulietewa na WHO ambao walikua wanapriorities nchi ambazo zilikua za kwanza kwanza kuhitaji kufanya testing, akina Edgypt , Tunisia, ndo walikua wa kwanza kupata testing kits alafu wakafwatwa na akina Ethiopia Kenya ...
 
WEwe jamaa ni mpumbavu sana! Unacheka kwa jirani wakati kwako kunawaka moto. Tuombe Mungu tu atuepushe na hili janga.
Sio Kenya wala Tanzania yenye uwezo wa kupambana na haya maambukizi.
Ninarudia kwa sauti zaidi," Mama yako alivyopanua na kuingizwa wewe, bila kujua kama baba yako alikua na Ukimwi, Corona au kifadura ndio alikua MPUMBAVU, au namna gani jameni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Hayo yote nayafahamu kabla yako,
Soma alichoandika kisha utaelewa kwanini nilimjibu vile kwa kutumia ile video,
Ila kwa sababu una uwezo mdogo wa kusoma na kuelewa basi tuendelee kubishana.
 
Sasa umeishia kutumia tweets za wakenya baada ya kushindwa kuleta takwimu za Tanzania ... Bure kabisa
since u don't trust Koinange i brought tweets from ur doctors (i call it hear from horses' mouths)!

Here is what ur doctors r saying!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…