komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Basi wataelewa kwelJamaa wanakurupukwa tu, yani hizi kelele zote kumbe hata hawajielewi..... hawajui wako na vitanda vingapi, alafu hata taarifa ya gavana hata hawaielewi
wacha ni waelimishe kidogo , huyu ndo gavana alieongelea kuhusu vitanda 160 kwa county zote.
------------------------------
H.E. Hon. Wycliffe Ambetsa Oparanya, EGH is a Kenyan politician, serving as the incumbent governor of Kakamega County and Council of Governors chairperson.
---------------------------
Magavana wote hupiga kura ili mmoja wao awe anashikilia usukani kuwakilisha magavana wote wa Kenya kuhusiana na serekali kuu, yani kwa kifupi mwenyekiti cha council of governors anawakilisha county zote.... kwahivyo akisema county zote za kenya ziko na vitanda 160 anamaanisha hospitali za county! hamaanishi hospitali zote za Kenya.....
Nitaregelea tena, akisema county zote za kenya ziko na vitanda 160 anamaanisha hospitali za county! hamaanishi hospitali zote za Kenya.....
Sent using Jamii Forums mobile app