Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
1. Mboga yao kuu ni sukuma wiki. Bei ya nyama kwao ni zaidi ya Tshs 12000 kwa kg. Hivyo hawamudu kununua. Wanaishia kula majani.
2. Mtu wa kawaida hana uwezo wa kumiliki ardhi yenye ukubwa wa kuanzia ekari 2. Ardhi yote ya kenya inashikiliwa na matajiri wakubwa ambao huwapa watu wailime huku wakiwapa masharti magumu ya kuwauzia mazao watakayovuna.
Wanaongoza kwa kutumikishwa nchi mwao. Vijana haqana uwezo wa hata kununua pikipiki kwa ajili ya kujiajiri. Bodaboda zote mnazoziona Nairobi na za makampuni. Wamewaajiri vijana kwa ujira wa kinyonyaji. Nyingi zimefungwa car track.
Viwanda vyao vinaongoza kufunga packege za ajabu. Utakuta kuna Chai ya gm 10! Blue band gm 15 hii ni kuwasaidia waKenya masikini waweze kumudu mahitaji. Tofauti na hapa Tanzania huwezi kuta hizo package. Mafuta ya kula ni kuanzia lt 1,3 na 5.
Hawamudu kulipa kodi ya nyumba kwa miezi kuanzia mi3 hadi sita wao wanalipa kila mwezi. Tena kwa taaabu. Vijijini sehemu kusikokuwa na Umeme(stima) wamefungiwa vi solar power ambavyo ni mali ya makampuni ya kinyonyaji na wanamtoza mtu gharama kubwa kwa matumizi ya jua.
Kwa kifupi kenya haina watu wa kipato cha kati. Kuna matajiri wakubwa ambao wameshikilia uchumi, Ardhi na Mustakabali wa Kenya. Na kuna wakenya maskini ambao ni rasilimali kwa ajili ya matajiri wa kenya.
Povu ruksa