Kenya ina uchumi imara kuliko Tanzania. Ila waKenya ni maskini wa kutupwa.

Kenya ina uchumi imara kuliko Tanzania. Ila waKenya ni maskini wa kutupwa.

povu ruksa....thread ya kichokozi sana hii... acheni jirani zetu wapumue jamani, ile thread nyingine kule inawatoa jasho...halafu leo sio siku nzuri kwao, wengi wamepigwa ban kwa kuendekeza kuandika matusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haiti na El Salvador ni ldc countries. Kenya sio ldc
Acha kukimbiakimbia kujibu swali. Trump.alisema ldc ndiyo shithole countries au alisema Africa kwa ujumla?

Yani nyie majamaa mngekuwa tu kama South Africa, tusingelala kwa amani. Mnavyojinasibu hapa na mtu akija huko Kenya haswa anabaki kuduwaa.
 
Mmeshindwa kula nyama toka umasaini utaweza za UK wewe. Zile za UK ni kwa ajili ya matajiri na zinapatikana super market.

Nyingi ya familia za vijijini wote ni walimaji wazuri wa sukuma wiki... kila asubuhi kuna pick ups zinabeba na kuleta sokoni nyie mnaita (markiti). Uchumi wenu kama nchi/taifa mi mzuri ila mna maisha magumu.
 
1. Mboga yao kuu ni sukuma wiki. Bei ya nyama kwao ni zaidi ya Tshs 12000 kwa kg. Hivyo hawamudu kununua. Wanaishia kula majani.

2. Mtu wa kawaida hana uwezo wa kumiliki ardhi yenye ukubwa wa kuanzia ekari 2. Ardhi yote ya kenya inashikiliwa na matajiri wakubwa ambao huwapa watu wailime huku wakiwapa masharti magumu ya kuwauzia mazao watakayovuna.

Wanaongoza kwa kutumikishwa nchi mwao. Vijana haqana uwezo wa hata kununua pikipiki kwa ajili ya kujiajiri. Bodaboda zote mnazoziona Nairobi na za makampuni. Wamewaajiri vijana kwa ujira wa kinyonyaji. Nyingi zimefungwa car track.

Viwanda vyao vinaongoza kufunga packege za ajabu. Utakuta kuna Chai ya gm 10! Blue band gm 15 hii ni kuwasaidia waKenya masikini waweze kumudu mahitaji. Tofauti na hapa Tanzania huwezi kuta hizo package. Mafuta ya kula ni kuanzia lt 1,3 na 5.

Hawamudu kulipa kodi ya nyumba kwa miezi kuanzia mi3 hadi sita wao wanalipa kila mwezi. Tena kwa taaabu. Vijijini sehemu kusikokuwa na Umeme(stima) wamefungiwa vi solar power ambavyo ni mali ya makampuni ya kinyonyaji na wanamtoza mtu gharama kubwa kwa matumizi ya jua.

Kwa kifupi kenya haina watu wa kipato cha kati. Kuna matajiri wakubwa ambao wameshikilia uchumi, Ardhi na Mustakabali wa Kenya. Na kuna wakenya maskini ambao ni rasilimali kwa ajili ya matajiri wa kenya.

Povu ruksa
Kwa akili zako Tanzania inayo middle class kubwa kuliko Kenya?
 
Mmeshindwa kula nyama toka umasaini utaweza za UK wewe. Zile za UK ni kwa ajili ya matajiri na zinapatikana super market.

Nyingi ya familia za vijijini wote ni walimaji wazuri wa sukuma wiki... kila asubuhi kuna pick ups zinabeba na kuleta sokoni nyie mnaita (markiti). Uchumi wenu kama nchi/taifa mi mzuri ila mna maisha magumu.
Nikurekebishe kidogo, uchumi wa Kenya sio imara, bali wana GDP kubwa kidogo. Kenya economy is not stable economy because of lack of natural resources, lack of strong and stable manufacturing sector, and means of production like land to be under control of few people.
 
Ndege atachagua atuwe kwenye mti gani watu hatufanani ndani nje nje ndani akili kichwani kufunzwa nyumbani usijaji kitabu kama hujakisoma ndani piga na kupakua majungu weka mezani
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kwa akili zako Tanzania inayo middle class kubwa kuliko Kenya?
Why middle class Kenyans are living a lie

Ndiyo, Tanzania ina middle class wengi kuliko Kenya. Ninyi wakenya huwa mnaishi kwa kutegemea maneno ya kuambiwa na kujazana sifa za uongo toka kwenye vyombo vya habari vya nchi yenu, ambavyo kwa miaka yote kazi yake ni kusifia Kenya, lete ushahidi kuonyesha Kenya ina middle class kubwa kuliko Tanzania.
 
Haiti na El Salvador ni ldc countries. Kenya sio ldc
Is Botswana an ldc country!? Kazi yenu kujibabaishaga kwa wamarekani na hamna lolote. Ndio maana ni Tanzania pekee in EAC tulipinga uamuzi wa bwana mkubwa wenu kutambua Jerusalem as Israel Capital. Nyie mnajibabaikisha tuu, mjiamini...
 
Ila Uchumi wa Tanzania ni wa Aina gani maana watu ni masikini lakini wanakaa wasema wako sawa. Mbona viashiria vya umasikini ni vingi Tanzania kuliko Kenya
 
Why middle class Kenyans are living a lie

Ndiyo, Tanzania ina middle class wengi kuliko Kenya. Ninyi wakenya huwa mnaishi kwa kutegemea maneno ya kuambiwa na kujazana sifa za uongo toka kwenye vyombo vya habari vya nchi yenu, ambavyo kwa miaka yote kazi yake ni kusifia Kenya, lete ushahidi kuonyesha Kenya ina middle class kubwa kuliko Tanzania.
Kama unaamini Tanzania ina middle class kubwa kushinda Kenya basi sioni haja ya Tanzania kuwa Ldc na Kenya kuwa middle income.
 
Ila Uchumi wa Tanzania ni wa Aina gani maana watu ni masikini lakini wanakaa wasema wako sawa. Mbona viashiria vya umasikini ni vingi Tanzania kuliko Kenya
Ahsante bwana mkubwa kwa kuongea ukweli
 
Kama unaamini Tanzania ina middle class kubwa kushinda Kenya basi sioni haja ya Tanzania kuwa Ldc na Kenya kuwa middle income.
Mimi ninahisi kuna tatizo kubwa la la uwezo wa akili wa wakenya wengi katika kuelewa mambo ya duniani, pia kuna tatizo kubwa sana la vyombo vya habari vya Kenya kutoa taarifa zinazozidi kudumaza uwezo wa wakenya katika kufikiria na kudadavua mambo, mfano mzuri ni hili swali uliloniuliza sasa hivi, hii inaonyesha ni jinsi gani uwezo wako ulivyo mdogo.
1) Ni vigezo gani vinavyotumika katika kuzipanga nchi katika hayo madaraja ya Lower, middle, and developed world?
2)Ni vigezo gani vinavyotumika kuweka daraja la middle, lower na upper incomes katika nchi?
3)Kuna uhusiano gani kati ya incomes among citizens, GDP na inclusive economy?
Ungakuwa uwelewa wako ni mpana kidogo juu ya hayo mambo matatu, ungejisikia aibu kuuliza hilo swali lako.
 
Honestly Kenyans, Everything is not ment to be replied.. We shouldn't look too desparate to defend what we have.. Kama wanaona sisi ni shithole let them be, how many threads will they open with thesame agenda... I fill like we are going down to their level.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Honestly Kenyans, Everything is not ment to be replied.. We shouldn't look too desparate to defend what we have.. Kama wanaona sisi ni shithole let them be, how many threads will they open with thesame agenda... I fill like we are going down to their level.
Mwingine hapo ameleta 'ushahidi' kutoka vijiweni huko huko Tz, eti soda Kenya ni shilingi hamsini!??? Ate waat! Afu bila aibu akamalizia na, hiyo ni elfu moja ya Tz! 😀😀😀😀😀 Kweli, hoja kama hizi ukijibu utakuwa umejishushia hadhi kabisa kama Mkenya. Big up! Kwa wakenya wote ambao wamo humu JF! You guys are very brilliant!
 
Mwingine hapo ameleta 'ushahidi' kutoka vijiweni huko huko Tz, eti soda Kenya ni shilingi hamsini!??? Ate waat! Afu bila aibu akamalizia na, hiyo ni elfu moja ya Tz! 😀😀😀😀😀 Kweli, hoja kama hizi ukijibu utakuwa umejishushia hadhi kabisa kama mkenya. Big up! Kwa wakenya wote ambao wapo humu jf!
Kweli kabisa, Mods should also limit some of this babies in coming up with childish post that have no base at all...
 
Mwingine hapo ameleta 'ushahidi' kutoka vijiweni huko huko Tz, eti soda Kenya ni shilingi hamsini!??? Ate waat! Afu bila aibu akamalizia na, hiyo ni elfu moja ya Tz! 😀😀😀😀😀 Kweli, hoja kama hizi ukijibu utakuwa umejishushia hadhi kabisa kama mkenya. Big up! Kwa wakenya wote ambao wapo humu jf!
Sasa mbona hueleweki wewe?, yeye amesema soda kweni ni shilingi 50, ambayo ni wastan wa shilingi 100 ya TZ, kama amedanganya ulipaswa wewe useme ukweli ulivyo kwa kadri unavyojua wewe, badala yake unarudia yale aliyosema yeye na kuanza kulialia, bora ungenyamaza kimya kama unadhani aliyosema ni upuuzi, stupid Kenyan.
 
Back
Top Bottom