Kenya ina uchumi imara kuliko Tanzania. Ila waKenya ni maskini wa kutupwa.

Ndege atachagua atuwe kwenye mti gani watu hatufanani ndani nje nje ndani akili kichwani kufunzwa nyumbani usijaji kitabu kama hujakisoma ndani piga na kupakua majungu weka mezani
Njoo na hoja sio mipasho
 
We can't argue with a fool like you. We fully fear you will drag us to your high level of stupidity.
 
Good idea. No need for us to engage with some of these discombobulated nincompoops
 
Wanajikimu. Ila ajira kwao ni ya kinyonyaji. Malipo hayalingani na kazi wanazofanya. Thats y wale wa middle class hawapo. Kuna matajiri na maskini wa kutupwa.
 
1. Mboga yao kuu ni sukuma wiki. Bei ya nyama kwao ni zaidi ya Tshs 12000 kwa kg. Hivyo hawamudu kununua. Wanaishia kula majani.

2. Mtu wa kawaida hana uwezo wa kumiliki ardhi yenye ukubwa wa kuanzia ekari 2. Ardhi yote ya kenya inashikiliwa na matajiri wakubwa ambao huwapa watu wailime huku wakiwapa masharti magumu ya kuwauzia mazao watakayovuna.

Wanaongoza kwa kutumikishwa nchi mwao. Vijana haqana uwezo wa hata kununua pikipiki kwa ajili ya kujiajiri. Bodaboda zote mnazoziona Nairobi na za makampuni. Wamewaajiri vijana kwa ujira wa kinyonyaji. Nyingi zimefungwa car track.

Viwanda vyao vinaongoza kufunga packege za ajabu. Utakuta kuna Chai ya gm 10! Blue band gm 15 hii ni kuwasaidia waKenya masikini waweze kumudu mahitaji. Tofauti na hapa Tanzania huwezi kuta hizo package. Mafuta ya kula ni kuanzia lt 1,3 na 5.

Hawamudu kulipa kodi ya nyumba kwa miezi kuanzia mi3 hadi sita wao wanalipa kila mwezi. Tena kwa taaabu. Vijijini sehemu kusikokuwa na Umeme(stima) wamefungiwa vi solar power ambavyo ni mali ya makampuni ya kinyonyaji na wanamtoza mtu gharama kubwa kwa matumizi ya jua.

Kwa kifupi kenya haina watu wa kipato cha kati. Kuna matajiri wakubwa ambao wameshikilia uchumi, Ardhi na Mustakabali wa Kenya. Na kuna wakenya maskini ambao ni rasilimali kwa ajili ya matajiri wa kenya.

Povu ruksa

kenya.JPG
tz.JPG
 
Kuna watanzania wana chemistry watakuja kwa ajil yako
 
Mimi nina rafiki zangu Wakenya wanaishi Nairobi wana maisha mazuri tu ila sio matajiri kwa hiyo unaposema Kenya haina watu wakipato cha kati sikuelewi.
Unaweza kukakamaa mishipa kutetea hali za watz kama ulivyofanya kwa wakenya.
Btw bravo kwa kuijua Kenya kuliko wakenya wnyw
 
Mwingine hapo ameleta 'ushahidi' kutoka vijiweni huko huko Tz, eti soda Kenya ni shilingi hamsini!??? Ate waat! Afu bila aibu akamalizia na, hiyo ni elfu moja ya Tz! 😀😀😀😀😀 Kweli, hoja kama hizi ukijibu utakuwa umejishushia hadhi kabisa kama Mkenya. Big up! Kwa wakenya wote ambao wamo humu JF! You guys are very brilliant!
Hizi hapa bei za Kenya

upload_2018-2-14_18-4-31.png

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
hizo ni take-away.
sasa leta za tanzania pia in comparison
Take away Tsh 800 rafiki na ikizidi sana ni 1000 hakuna zaidi ya hapo.
Sasa chukua hiyo Ksh55 peleka kweye Tsh au weka kwenye dollar.
upload_2018-2-14_18-19-24.png

Mtu anakunywa soda na karanga juu hapo. Akiwa TZ kwa Ksh 55
 
hizo ni take-away.
sasa leta za tanzania pia in comparison
Achana naye ajiliwaze, wakati Kenya, soda glass bottle R.R.P. ni Kshs 25, 40, na 65 kwa 250ml, 500ml, na 1Litre respectively! Acha ang'ang'ane na za soda wakati vifaranga vya kuku kutoka Kenya, wanavi'smuggle' kuingia Tz utadhani ni heroin kwenye ndege! Bure kabisa! 😀
 
Hatutaki uchafu na mafua ya ndege TZ. Tunajari afya za watu wetu kwanza. Hata milungi kwenu mnakula kama kawa lakini kwa TZ hayo ni madawa ya kulevya.
 
1. Mboga yao kuu ni sukuma wiki. Bei ya nyama kwao ni zaidi ya Tshs 12000 kwa kg. Hivyo hawamudu kununua. Wanaishia kula majani.

2. Mtu wa kawaida hana uwezo wa kumiliki ardhi yenye ukubwa wa kuanzia ekari 2. Ardhi yote ya kenya inashikiliwa na matajiri wakubwa ambao huwapa watu wailime huku wakiwapa masharti magumu ya kuwauzia mazao watakayovuna.

Wanaongoza kwa kutumikishwa nchi mwao. Vijana haqana uwezo wa hata kununua pikipiki kwa ajili ya kujiajiri. Bodaboda zote mnazoziona Nairobi na za makampuni. Wamewaajiri vijana kwa ujira wa kinyonyaji. Nyingi zimefungwa car track.

Viwanda vyao vinaongoza kufunga packege za ajabu. Utakuta kuna Chai ya gm 10! Blue band gm 15 hii ni kuwasaidia waKenya masikini waweze kumudu mahitaji. Tofauti na hapa Tanzania huwezi kuta hizo package. Mafuta ya kula ni kuanzia lt 1,3 na 5.

Hawamudu kulipa kodi ya nyumba kwa miezi kuanzia mi3 hadi sita wao wanalipa kila mwezi. Tena kwa taaabu. Vijijini sehemu kusikokuwa na Umeme(stima) wamefungiwa vi solar power ambavyo ni mali ya makampuni ya kinyonyaji na wanamtoza mtu gharama kubwa kwa matumizi ya jua.

Kwa kifupi kenya haina watu wa kipato cha kati. Kuna matajiri wakubwa ambao wameshikilia uchumi, Ardhi na Mustakabali wa Kenya. Na kuna wakenya maskini ambao ni rasilimali kwa ajili ya matajiri wa kenya.

Povu ruksa
Acha kudanganya watu kwa propaganda za kishamba na chuki kwa Nchi jirani!
Mpende jirani yako,wala usimnenee mabaya!
Hatuwezi kuendelea kwa kujifariji kwa takwimu za uongo! Ukweli ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa. Makusanyo yao ya kodi ni mara mbili ya Tanzania.Mishahara ya watumishi ni mara mbili yaTanzania. Uwezo wa kununua(purchasing power) wa wakenya ni mkubwa kuliko wa kwetu ndio maana hata biashara ya supermarket Kenya inashamiri wakati hapa kwetu ni pasua kichwa!
 
Purchasing what? Unaongelea kuhusus PPP?
Uwe unafanya utafiti kwanza siyo kuweka vitu kwa mihemko:

upload_2018-2-14_19-16-18.png
 
Back
Top Bottom