Kenya ina uchumi imara kuliko Tanzania. Ila waKenya ni maskini wa kutupwa.

Ndege atachagua atuwe kwenye mti gani watu hatufanani ndani nje nje ndani akili kichwani kufunzwa nyumbani usijaji kitabu kama hujakisoma ndani piga na kupakua majungu weka mezani
Njoo na hoja sio mipasho
 
We can't argue with a fool like you. We fully fear you will drag us to your high level of stupidity.
 
Good idea. No need for us to engage with some of these discombobulated nincompoops
 
Wanajikimu. Ila ajira kwao ni ya kinyonyaji. Malipo hayalingani na kazi wanazofanya. Thats y wale wa middle class hawapo. Kuna matajiri na maskini wa kutupwa.
 

 
Kuna watanzania wana chemistry watakuja kwa ajil yako
 
Mimi nina rafiki zangu Wakenya wanaishi Nairobi wana maisha mazuri tu ila sio matajiri kwa hiyo unaposema Kenya haina watu wakipato cha kati sikuelewi.
Unaweza kukakamaa mishipa kutetea hali za watz kama ulivyofanya kwa wakenya.
Btw bravo kwa kuijua Kenya kuliko wakenya wnyw
 
Hizi hapa bei za Kenya



 
hizo ni take-away.
sasa leta za tanzania pia in comparison
Take away Tsh 800 rafiki na ikizidi sana ni 1000 hakuna zaidi ya hapo.
Sasa chukua hiyo Ksh55 peleka kweye Tsh au weka kwenye dollar.

Mtu anakunywa soda na karanga juu hapo. Akiwa TZ kwa Ksh 55
 
hizo ni take-away.
sasa leta za tanzania pia in comparison
Achana naye ajiliwaze, wakati Kenya, soda glass bottle R.R.P. ni Kshs 25, 40, na 65 kwa 250ml, 500ml, na 1Litre respectively! Acha ang'ang'ane na za soda wakati vifaranga vya kuku kutoka Kenya, wanavi'smuggle' kuingia Tz utadhani ni heroin kwenye ndege! Bure kabisa! πŸ˜€
 
Hatutaki uchafu na mafua ya ndege TZ. Tunajari afya za watu wetu kwanza. Hata milungi kwenu mnakula kama kawa lakini kwa TZ hayo ni madawa ya kulevya.
 
Acha kudanganya watu kwa propaganda za kishamba na chuki kwa Nchi jirani!
Mpende jirani yako,wala usimnenee mabaya!
Hatuwezi kuendelea kwa kujifariji kwa takwimu za uongo! Ukweli ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa. Makusanyo yao ya kodi ni mara mbili ya Tanzania.Mishahara ya watumishi ni mara mbili yaTanzania. Uwezo wa kununua(purchasing power) wa wakenya ni mkubwa kuliko wa kwetu ndio maana hata biashara ya supermarket Kenya inashamiri wakati hapa kwetu ni pasua kichwa!
 
Purchasing what? Unaongelea kuhusus PPP?
Uwe unafanya utafiti kwanza siyo kuweka vitu kwa mihemko:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…