Kenya ina uchumi imara kuliko Tanzania. Ila waKenya ni maskini wa kutupwa.

Am a Tanzanian living in Kenya (Nairobi). Am employed by a Government institution on permanent basis. I also do businesses which give me good money. Posts za chuki na propaganda kama hizi ndizo hufanya wakenya watudharau watanzania, na ndizo hufunga baraka toka kwa Mungu. Kenya haina resources ambazo ziko Tz lakini Mungu amebariki wakenya sana sana kwa kuwa wamekaribisha wageni na wanawathamini sana. Muweka hii post Ni mmoja Wa maelfu ya watanzania wanaoichukia Kenya na wakenya. Na hiyo chuki inaleta laana juu ya nchi. Ebu watanzania tubadilike. Posts kama hizi zinatia aibu sana.
 
It's like some post of the topics to feel better about themselves... Kenya loses nothing when someone hates us...
 
Shukran kwa kusema ya kweli madam, ila usijisumbue kuamsha waliolala! We chapa kazi, tengeneza hela. Wanaokariri waache tu kwenye starehe zao, za kukalia mikia katikati ya lami.
 
Vipi wanakuwa na njaa, ukosefu wa ajira, wanakosa maji kwa wananchi hasa mijini, wana slums kubwa duniani, huo uchumi mkubwa na mishahara mikubwa inaenda wapi?
 
Huu ni mtazamo wako tunauheshimu, lakini haina maana kwamba watu wote wana mitazamo kama wewe, kwahiyo tunakuomba na wewe ujaribu kuheshimu mitazamo ya watu wengine, wakenya wanawadharau watu kama ninyi au hamjitambui ki fikra, vipi unasema wakenya wanawakaribisha na kuwathamini wageni wakati wao wenyewe kwa wenyewe wanabaguana na kudharauliana?, hata sisi tuliwahi kuishi na kufanya kazi Kenya, wakenya ni watu wabaguzi sana kushinda makaburu wa South Africa.
 
keep that spirit.. ila usiwaseme wa Tz wote na kuleta mambo ya kishirikina kusema tz imelaaniwa kisa kuchukia Kenya! Halafu wewe siyo wa kwanza kuishi na wakenya, kwa uzoefu wangu wakenya wana penda mtu kimaslahi, upendo walio nao haufikii ata robo ya upendo wa watanzania. Mimi nime kaa na watu wa nchi zote zinazo zunguka Tz hamna sehemu utakutana na ukarimu utakao ukuta Tz.
Ata wakenya wanao ishi Dar wana lithibitisha hilo.
 
Wewe uliishi Kenya wapi? Mwaka upi na kwa muda upi? Hapa tutajua kama unasema ukweli au ni propaganda zilizoganda Uganda.
 
Matajjri wa Tz
1 Mo.
2 Rostam.
3 Bakhresa.
.
.
.

Kampuni kubwa Tanzania

1. Azam - ya Mhindi

2. Tanzania Breweries - ya Mjapani

3. Tanga cement - Mzungu

etc

Saa zingine mimi hucheka sana nikiona Mtanzania akiponda uchumi wa Kenya eti umeshikiliwa na Mhindi na Mzungu. lol
 
Acheni kubadili mada. Heading inasema KENYA INA UCHUMI IMARA ILA WAKENYA NI MASIKINI. Hayo ma GPD ni ya kisomi au niseme ni kiuchumi zaidi. Ila hali halisi kwa mkenya wa kawaida hali yake ni ngumu sana. Sababu hiyo GPD ni makusanyo ya kodi then unayagawanya kwa idadi ya wananchi. Sasa kama walipa kodi wakubwa ni wale matajiri nini kinabadilika hapo?

Mnalalamika tunawasema vibaya. Nilichoandika hapo mwanzo kwenye hii thread ni ukweli ulio wazi. Ni nchi gani inaongoza kufunga package za ajabu kamac Kenya!

Mashifta hapo kenya ni watu wa aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…