Kenya ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kufungua soko lote la USA kwa bidhaa za Wakenya

Nyie wakenya hajielewi. Nadhani mnawajua US hawana mchezo kwe mikataba yao. Nyie mtawauzia nini? [emoji118] tuanzie hapo kwanza.
Maparachichi ya arusha na yanga. Wasisahau kuwa JPM yupo makini. Kwanza kusafirisha mazao yake kwa ndege. KIA na Mwanza. Vitu vyote nilikuwa wakisafirisha kupitia Nairobi na mombasa sasa baasi
 
MK254 naona mnafurahia kupiga picha na mzungu............mwisho wa siku USA atakuwa ana hesabu nazi na nyie mnahesabu makuti.

US ana kauli yake ya "Marekani kwanza....." US hanaga win win.
 
There are no friends in the international arena. This is where ujamaa got you all f*cked up in the head.

Learn from your Russian "friends" and move on from failed ideologies

Let those friendship dreams die a peaceful death
 
Kwa jinsi mnavoishi hapo slumcity bora ujamaa
asee
 
MK254 naona mnafurahia kupiga picha na mzungu............mwisho wa siku USA atakuwa ana hesabu nazi na nyie mnahesabu makuti.

US ana kauli yake ya "Marekani kwanza....." US hanaga win win.

Ndio michezo ya kiunyang'au, Kenya kwanza, USA kwanza, kila mtu anavutia kwake, kwa nyie hamyawezi haya maana huwa mnatanguliza pumba za undugu kwenye haya mambo na ndio maana huwa mnaliwa sana hivi, nchi kubwa mnayo full madini na kila kitu lakini mumechelewa balaa ukata kila mahali.
Mchina kwenye mnamuita ndugu na kumvisha makofia ya CCM, mna matatizo sana nyie Nyerere kawaachia hicho kitu cha ujamaa kikawalemaza kiakili.

US hapangiwi tena na wala vumbi kama nyinyi,subirini maumivu.Sasa nyie mliwe mara ngapi? China mda si mrefu atawaburuza kisa anawadai hela kibao ambazo matumizi yake haya julikani.

China may take Mombasa port over Sh227bn SGR debt: Ouko
 
We don't really care about jealous neighbors, we know the best striker in the match is the most marked, we accept the challenge. Home and away
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kwa wachina mlisahahu sera yenu ya kenya kwanza,au mlizidiwa maarifa??
 
We don't really care about jealous neighbors, we know the best striker in the match is the most marked, we accept the challenge. Home and away
Punguza feelings..Go make your deal with trump same way you made a deal for a 1960 locomotive with China alone. No one cares..Tanzania has richer allies to work with in a trade deal with USA
 
There are no friends in the international arena. This is where ujamaa got you all f*cked up in the head.

Learn from your Russian "friends" and move on from failed ideologies

Let those friendship dreams die a peaceful death
Friends equals multilateral partners.
e.g EU, ECOWAS, Comesa etc.
Which rock have been living under? wasn't Kenyatta trumpeting AFCTA?
 
US hapangiwi tena na wala vumbi kama nyinyi,subirini maumivu.Sasa nyie mliwe mara ngapi? China mda si mrefu atawaburuza kisa anawadai hela kibao ambazo matumizi yake haya julikani.

China may take Mombasa port over Sh227bn SGR debt: Ouko

USA hapangiwi na hatuwezi kuwa na nia ya kumpangia, itakua kosa.
Hii ni biashara, nipe nikupe, weka yako mezani na mimi niweke yangu, ndio lugha ya ubepari, ndio unyang'au huo sio huo ujinga wenu wa kuita kila mtu ndugu, ndio maana mnaliwa na mtaliwa sana, miaka yote mahandaki kwenu yanachimbwa na madini kuelekezwa kwao kisa mnaitana ndugu.
 
Ila kwa Wachina mlishindwa nipe ni kupe,je kwa US mtaweza?

Yaani mnazidi kujipalilia makaa,endeleeni kujikaanga kwa mafuta yenu wenyewe kama nguruwe,hamjifunzi kama manyumbu.
 
Ila kwa Wachina mlishindwa nipe ni kupe,je kwa US mtaweza?

Yaani mnazidi kujipalilia makaa,endeleeni kujikaanga kwa mafuta yenu wenyewe kama nguruwe,hamjifunzi kama manyumbu.

Wachina mbona tunaenda nao freshi tu, kwanza yaani sidhani kama kuna taifa tumepelekana nao vizuri kama Wachina, wale jamaa japo wanafahamika kuwa roho ngumu ila ukikaa nao vizuri utafaidi pakubwa. Sema kukaa nao vizuri inabidi uwe na akili za kinyang'au kama sisi sio huo undugu wenu unaosababisha mjichokee kwenye umaskini.
 
Wakenya wakisikia sauti ya mzungu...viungo vyote vinalegea...
 
The plane was released and the so called southafrican 'farmer' who was being used by enemies of Tz never got even 1 coin.
As we speak, the plane is flying to Mumbai.
That is neither here nor there because at the end of the day, friends don't sign formal agreements and arbitration processes.

As I said you confuse friendship with common interests.
 
China may take Mombasa port over Sh227bn SGR debt: Ouko

Kweli hata mimi naona mnaenda nao fresh.
 
Punguza feelings..Go make your deal with trump same way you made a deal for a 1960 locomotive with China alone. No one cares..Tanzania has richer allies to work with in a trade deal with USA
Which allies? Kenyans export products to the US,Europe, Asia, Middle east n Africa..

Can your rich allies translate into a market 1st. To be honest TZ tries too much to do dick contests with Kenya.
 
Punguza feelings..Go make your deal with trump same way you made a deal for a 1960 locomotive with China alone. No one cares..Tanzania has richer allies to work with in a trade deal with USA
Bwahaha!!hasira mbaya kweli, mpka umeandika pumba na kujivisha utanzania ghafla[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…