BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Maparachichi ya arusha na yanga. Wasisahau kuwa JPM yupo makini. Kwanza kusafirisha mazao yake kwa ndege. KIA na Mwanza. Vitu vyote nilikuwa wakisafirisha kupitia Nairobi na mombasa sasa baasiNyie wakenya hajielewi. Nadhani mnawajua US hawana mchezo kwe mikataba yao. Nyie mtawauzia nini? [emoji118] tuanzie hapo kwanza.