komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tulishindwa vipi[emoji23][emoji23]wivu jamani, we unafikiria vile vitu mchina anajenga kweli tz mtafikiaIla kwa Wachina mlishindwa nipe ni kupe,je kwa US mtaweza?
Yaani mnazidi kujipalilia makaa,endeleeni kujikaanga kwa mafuta yenu wenyewe kama nguruwe,hamjifunzi kama manyumbu.