joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unadhani hata huko Kenya hakuna changamoto?, Nitajie nchi yoyote Ile ambayo ukitaka kusafirisha bidhaa nje ya nchi unaenda kupata kibali bila kupitia taratbu za nchi husika.joto la jiwe : inajulikana wewe ni mpizani wa kweli wa Kenya lakini jamaa ana hoja nzuri. Changamoto ya vibali bado ipo tena sana. Kama na wewe ni msafirishaji wa mazao basi lazima kupata vibali haikua kazi rahisi. Ni kweli kwa sasa tunaongoza kuuza mazao nje ya nchi lakini ingeweza kua zaidi ya sasa kama vibali vingekua vinapatikana kiurahisi.
Hivi Sasa ninakuhakikishia, katika kupata vibali vya kusafirisha mazao ya kilimo nje ya nchi, utaratibu umerahisishwa Sana tena Sana, matatizo utakayokumbana nayo ni matatizo ya watumishi, Kama uzembe, ucheleweshwaji na Rushwa ndogo ndogo, ila ukisimama kidete, unahudiwa haraka Sana, na matatizo hayo utakutana nayo popote pale serikalini, sio ktk vibali pekee