joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mkuu, naomba ukisema uwe unakua specific Ili mjadala uwe wenye mafunzo. Hivi Mimi nikisema Tanzania tumewazidi Kenya kwenye maeneo mengi sana, utanielewa?,🙄 🙄😎😎 wewe braza hakika unaipenda Kenya so unapenda uone ikienda mbele, sababu kwa lawama hizi nadhani nchi yetu ya Tanzania ndiyo inapaswa uilaumu kwa uchungu hivi......kwa akili ya kawaida nadhani ni ujinga kuondoa jiti jichoni kwa mwenzako wakati wewe una boooonge la boriti.............katika debate na other scientific arguments ambazo huwa zinakuwa supported kwa facts and evidence siyo siri majirani wa kaskazini huwa wanatuacha mbali kwa nyanja mbali mbali.....................ki ukweli sisi ilipaswa tuwe mbali saaaaaana, mfano hivi kama mtoto wa Turkana ana kwashiakor na mtoto wa Njombe ana utapiamlo ni mzazi wa wapi anapaswa achapwe viboko................???
Lazima utataka kujua ni maeneo gani hayo?, tena utapenda niyataje kwa ushahidi sio blaaah, blaah tu
1)Tanzania tunawazidi Kenya kwa amani na utulivu, duniani Tanzania ipo nafasi ya 54 wakati Kenya 125
2)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula kwa 120%, wakati Kenya ni 60%
3)Tanzania exports more goods to Kenya than otherwise
4)Excessibility of safe water in Urban's 86%, Rural 72%; Kenya urban 78%, rural 42%
5)Unemployment rate; Kenya 48%, Tanzania 36%^
6)No tribalism with less corruption in TZ
Sasa wewe orodhesha mambo ambayo Kenya imeipita Kenya kwa kutumia ushahidi, sio maneno matupu.