kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 1,961
- 2,918
Upo sahihi.....! Urasimu ni mwingi.kuna fursa bongo inabid tuziache kwa ajili ya usumbufu kama huu japo inakua unaona kuna uwezo w kufanya jambo ukaingizia nchi ela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi.....! Urasimu ni mwingi.kuna fursa bongo inabid tuziache kwa ajili ya usumbufu kama huu japo inakua unaona kuna uwezo w kufanya jambo ukaingizia nchi ela
Kitu kimoja kinanishangaza Sana kwa ninyi wakenya, kwanini uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo kiasi hiki?.Mkuu naomba tusiende kwa hizi ma sibling rivalries sijui nini
Half of arable land in Tanzania ni 20,000,000 acres....irrigation infrastructure will cost $30-40 Billion dollars na dam ongezea $50 Billion, that is almost double your current gdp na ukumbuke 2030 is only 7 years away....nafikiri ni vyema kutoruhusu wanasiasa kutudanganya hivyo.
Lakini pia let me not downplay Tanzania's potential kwa sababu mko poa sana hasa hii sekta ya commodities, ukichunguza mchango wangu hapo JF, I've been singing that
Tanzania mkiwa serious u will lead us in the production of Horticulture, Palm oil and industrial commodities like kina cobalt from Congo. U have the port and cheap electricity.
Kwanza Palm oil will be a $500M market hapa Kenya tu
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Mkuu si ni wewe ulisema 2030?Kitu kimoja kinanishangaza Sana kwa ninyi wakenya, kwanini uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo kiasi hiki?.
Kwanza eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya kilimo Tanzania ni 19M hectors, nusu yake 10M, hivi Sasa1.2M hectors are covered". Kumbuka kwamba maeneo mengi ya nchi yetu yameachwa Kama National parks na conservation areas.
Lakini hata Kama tutahitaji hizo $40B, nani amekuambia kwamba lazima tuzipate zote kwa pamoja, hii kitu inahusisha Private and public sector, Kuna makampuni mengi sana ya wachina ambayo tayari yanaendelea kujenga hizo irrigation schemes.
Umeona hicho kikako Cha rais na waziri wa kilimo wakiwashawishi "business partners?. Mkuu, tofauti kati ya Kenya na Tanzania is "planning, Tanzania is very good in planning including priority settings.
Kenya you really need to change your attitude thinking that you are helpess. 90% of your problems can be solved internally by yourselves. Unfortunately instead of looking what you have to solve your problems, you are looking for what your neighbours have, that is typical characteristic features of a failure person.
Mkuu, Kama ndani ya mwaka wa kwanza ameweza kuvutia $8B, mwaka ujao itakua $10B, mwaka unaofuata $15B na kuendelea.Mkuu si ni wewe ulisema 2030?
Na kama hicho kikao ni cha kuwashawishi investors niliona mahali kuwa mama Samia has attracted FDI worth $8Billion. Nampongeza tena sana hapo, anafanya kazi kweli kweli.
However,even if u allocate all this FDI to agriculture and irrigation bado u will still not meet that goal in 2030.
Na ukumbuke FDI mingi itaenda to infrastructure na hiyo gas ,electricity na vitu kama hizo.
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Wacha tuone na tunawatakia kila la heri....katiba mpya mmefikisha wapi? Nafikiri mabadiliko hapo kwa mambo fulani would drive investment like never seen before in TZ.Mkuu, Kama ndani ya mwaka wa kwanza ameweza kuvutia $8B, mwaka ujao itakua $10B, mwaka unaofuata $15B na kuendelea.
Serikali yetu tunauwezo wa kupata $25 to 30B ndani ya hiyo miaka 7 na zilizobaki ni watu binafsi, pale tutakapokwama tutakopa, everything is possible, only what Africa needs is good planning and leadership.
umetoa wapi hiyo figure ya $30 to 40 bln?Mkuu naomba tusiende kwa hizi ma sibling rivalries sijui nini
Half of arable land in Tanzania ni 20,000,000 acres....irrigation infrastructure will cost $30-40 Billion dollars na dam ongezea $50 Billion, that is almost double your current gdp na ukumbuke 2030 is only 7 years away....nafikiri ni vyema kutoruhusu wanasiasa kutudanganya hivyo.
Lakini pia let me not downplay Tanzania's potential kwa sababu mko poa sana hasa hii sekta ya commodities, ukichunguza mchango wangu hapo JF, I've been singing that
Tanzania mkiwa serious u will lead us in the production of Horticulture, Palm oil and industrial commodities like kina cobalt from Congo. U have the port and cheap electricity.
Kwanza Palm oil will be a $500M market hapa Kenya tu
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Aliposikia kwamba Tanzania tunataka ikifika 2030 tuwe tumejenga "irrigation schemes" kwenye 50% ya arable land, basi akaja na hesabu zake anazozijua Ili kutukatisha tamaaumetoa wapi hiyo figure ya $30 to 40 bln?
Tanzania ndiyo inaongoza kupokea FDI nyingi kuliko nchi yoyote katika ukanda huu wote, Tanzania ndiyo nchi inayojenga miradi mingi ya maendeleo kushinda nchi zote za EAC combined, hizo Sheria kandamizi unaweza kutaja Moja tu pekee?.Wacha tuone na tunawatakia kila la heri....katiba mpya mmefikisha wapi? Nafikiri mabadiliko hapo kwa mambo fulani would drive investment like never seen before in TZ.
Kuna sheria kandamizi sana Tanzania hizo zimetungwa outrightly to kill foreign investors
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Sasa mbona nyie nyang'au mmeanza kuvaa sufuria kichwani licha ya hiyo katiba mpya mayojitamba nayo?😂😂....katiba mpya mmefikisha wapi?...
Avocado zinatoka Bongo zinauzwa Kenya, Wakenya wanauzq Ulaya.
kuna shida yoyote malori ya Kenya yakikatiza pembe zote za Tanzania?Idadi ya malori yenye plate number za Kenya kwenye barabara za Tz imekuwa kubwa sana,
Kwa sasa Ukitoka Iringa hadi njombe ni kama 30% ya malori yote ni ya kenya. Mengine yanafuata Coal that’s okay, but kuna yale mid sized obviously yanapita njombe kubeba raw avocado for export,
Na pia kuna idadi kubwa sana ya malori ya kenya yanapita all over Tazam highway.
Mkuu, badilika Sasa, achana na hizo "negativity", za zamani, watu wanasafirisha mazao na mbogamboga na kupata pesa nyingi bila vikwazo vyovyote, serikali imeamua kuingia gharama ya kununua ndege ya mizigo Ili kuwarajisishia wakulima na wafanya biashara tatizo la kuisafirisha mazao Yao kupitia Nairobi ambako ndiko kulikokua na ndege nyingi zenye lusafirishia mazao.
Badala ya kukubali mapungufu yetu binafsi Kama raia, kwamba wakenya ndio waliochangamka zaidi katika kuuza mazao nje ya nchi kuliko sisi watanzania, Ili tutafute ni jinsi gani na sisi tunaweza kuanza kufanya Kama wao(Kama tunavyochamngamkia hivi Sasa), wewe bado unaendeleza kutoa lawama kwa serikali Ili kuhalalisha uendelee kulala usingizi.
Ninauhakika hujawahi hata kujaribu kuulizia kuhusu kufanya biashara ya kupeleka mazao nje ya nchi, amka mkuu nchi inasonga mbele kwa Kasi Sana.
Pembejeo ambazo nyingi zimepata ruzuku ya serikali watarudishaje?Tumekusikia mtumishi wa Serikali. Ni lini mtaacha kuwazuia wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera kuuza kahawa yao nchini Uganda kwa bei mara dufu ya hii ya serikali ya CCM?
Yule chizi ameshachezea "ban"R these finished goods from Kunyaland u yap about?
![]()
![]()
kuna shida yoyote malori ya Kenya yakikatiza pembe zote za Tanzania?
Pembejeo ambazo nyingi zimepata ruzuku ya serikali watarudishaje?
Kahawa ya Kagera hailimwi kwa pembejeo za viwandani.Pembejeo ambazo nyingi zimepata ruzuku ya serikali watarudishaje?
Hakuna kilimo chochote hapa nchini ambacho ni tegemeo kwa kuuza nje ya nchi ambacho serikali haiweki mkono wakeKahawa ya Kagera hailimwi kwa pembejeo za viwandani.
Hii ni kujaribu kutaka kuhalalisha uzembe wa Kenya, hakuna sababu yoyote Ile kwa Kenya kubaki nyuma katika sector ya kilimo, uvuvi na mifugo
1)Kama kweli Kenya mko na educated people, iweje mnashindwa kutumia elimu yenu kufanya kilimo Cha umwagiliaji Kama Israel?
2)Kama mko na GDP kubwa kuliko Tanzania, iweje mnashindwa kutumia GDP yenu kubadilisha maisha Kama Singapore?
Ili nchi iweze kuendelea kwa Kasi, unahitaji mambo matatu muhimu.
1)The best human resource
2)Financial capital
3)Technology
Taiwan, Singapore, Japan, South Korea, Israel, hazikuendelea kwasababu ya Ardhi kubwa yenye rutuba.
Ninyi wakenya mnajisifu kuwa na "better human resource, GDP, vipi mnashindwa kuvitumia badala yake mnasingizia kwamba hamna Ardhi?.
Wacheni visingizio, ninyi ni wazembe.