Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados

Kitu kimoja kinanishangaza Sana kwa ninyi wakenya, kwanini uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo kiasi hiki?.

Kwanza eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya kilimo Tanzania ni 19M hectors, nusu yake 10M, hivi Sasa1.2M hectors are covered". Kumbuka kwamba maeneo mengi ya nchi yetu yameachwa Kama National parks na conservation areas.

Lakini hata Kama tutahitaji hizo $40B, nani amekuambia kwamba lazima tuzipate zote kwa pamoja, hii kitu inahusisha Private and public sector, Kuna makampuni mengi sana ya wachina ambayo tayari yanaendelea kujenga hizo irrigation schemes.

Umeona hicho kikako Cha rais na waziri wa kilimo wakiwashawishi "business partners?. Mkuu, tofauti kati ya Kenya na Tanzania is "planning, Tanzania is very good in planning including priority settings.

Kenya you really need to change your attitude thinking that you are helpess. 90% of your problems can be solved internally by yourselves. Unfortunately instead of looking for what you have to solve your problems, you are looking for what your neighbours have, that is typical characteristic features of a failure person.
 
Mkuu si ni wewe ulisema 2030?
Na kama hicho kikao ni cha kuwashawishi investors niliona mahali kuwa mama Samia has attracted FDI worth $8Billion. Nampongeza tena sana hapo, anafanya kazi kweli kweli.

However,even if u allocate all this FDI to agriculture and irrigation bado u will still not meet that goal in 2030.

Na ukumbuke FDI mingi itaenda to infrastructure na hiyo gas ,electricity na vitu kama hizo.



Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Kama ndani ya mwaka wa kwanza ameweza kuvutia $8B, mwaka ujao itakua $10B, mwaka unaofuata $15B na kuendelea.

Serikali yetu tunauwezo wa kupata $25 to 30B ndani ya hiyo miaka 7 na zilizobaki ni watu binafsi, pale tutakapokwama tutakopa, everything is possible, only what Africa needs is good planning and leadership.
 
Wacha tuone na tunawatakia kila la heri....katiba mpya mmefikisha wapi? Nafikiri mabadiliko hapo kwa mambo fulani would drive investment like never seen before in TZ.

Kuna sheria kandamizi sana Tanzania hizo zimetungwa outrightly to kill foreign investors

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
umetoa wapi hiyo figure ya $30 to 40 bln?
 
umetoa wapi hiyo figure ya $30 to 40 bln?
Aliposikia kwamba Tanzania tunataka ikifika 2030 tuwe tumejenga "irrigation schemes" kwenye 50% ya arable land, basi akaja na hesabu zake anazozijua Ili kutukatisha tamaa
 
Tanzania ndiyo inaongoza kupokea FDI nyingi kuliko nchi yoyote katika ukanda huu wote, Tanzania ndiyo nchi inayojenga miradi mingi ya maendeleo kushinda nchi zote za EAC combined, hizo Sheria kandamizi unaweza kutaja Moja tu pekee?.

Kenya hivi Sasa Kuna Kila aina ya matatizo;
1)Political instability
2)Hunger crisis
3)Security problems (bandits)
4)Economic problems
5) Ethnicity
Haya yote yanatokea mkiwa na katiba mpya, Sasa mnataka na sisi tuwe na katiba mpya Ili tukumbwe na hizi shida zenu?
 
Avocado zinatoka Bongo zinauzwa Kenya, Wakenya wanauzq Ulaya.

Idadi ya malori yenye plate number za Kenya kwenye barabara za Tz imekuwa kubwa sana,
Kwa sasa Ukitoka Iringa hadi njombe ni kama 30% ya malori yote ni ya kenya. Mengine yanafuata Coal that’s okay, but kuna yale mid sized obviously yanapita njombe kubeba raw avocado for export,
Na pia kuna idadi kubwa sana ya malori ya kenya yanapita all over Tazam highway.
 
kuna shida yoyote malori ya Kenya yakikatiza pembe zote za Tanzania?
 
Tumekusikia mtumishi wa Serikali. Ni lini mtaacha kuwazuia wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera kuuza kahawa yao nchini Uganda kwa bei mara dufu ya hii ya serikali ya CCM?
 
Tumekusikia mtumishi wa Serikali. Ni lini mtaacha kuwazuia wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera kuuza kahawa yao nchini Uganda kwa bei mara dufu ya hii ya serikali ya CCM?
Pembejeo ambazo nyingi zimepata ruzuku ya serikali watarudishaje?
 
kuna shida yoyote malori ya Kenya yakikatiza pembe zote za Tanzania?

Atleast you can drive your trucks in proper and well built roads all over the Tz with 2 times Kenya’s landmass,
 
Kahawa ya Kagera hailimwi kwa pembejeo za viwandani.
Hakuna kilimo chochote hapa nchini ambacho ni tegemeo kwa kuuza nje ya nchi ambacho serikali haiweki mkono wake
1)Kahawa
2)Pamba
3)Tumbaku
4)Korosho
5)Chai

Lazima serikali iwekeze kwa kupitia vyama vya ushirika au ruzuku ya mbolea na madawa ya kuulia wadudu.
 

🙄 🙄😎😎 wewe braza hakika unaipenda Kenya so unapenda uone ikienda mbele, sababu kwa lawama hizi nadhani nchi yetu ya Tanzania ndiyo inapaswa uilaumu kwa uchungu hivi......kwa akili ya kawaida nadhani ni ujinga kuondoa jiti jichoni kwa mwenzako wakati wewe una boooonge la boriti.............katika debate na other scientific arguments ambazo huwa zinakuwa supported kwa facts and evidence siyo siri majirani wa kaskazini huwa wanatuacha mbali kwa nyanja mbali mbali.....................ki ukweli sisi ilipaswa tuwe mbali saaaaaana, mfano hivi kama mtoto wa Turkana ana kwashiakor na mtoto wa Njombe ana utapiamlo ni mzazi wa wapi anapaswa achapwe viboko................???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…