Kenya is the only African country in the top 10 producers of Avocados

Mkuu, naomba ukisema uwe unakua specific Ili mjadala uwe wenye mafunzo. Hivi Mimi nikisema Tanzania tumewazidi Kenya kwenye maeneo mengi sana, utanielewa?,
Lazima utataka kujua ni maeneo gani hayo?, tena utapenda niyataje kwa ushahidi sio blaaah, blaah tu

1)Tanzania tunawazidi Kenya kwa amani na utulivu, duniani Tanzania ipo nafasi ya 54 wakati Kenya 125

2)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula kwa 120%, wakati Kenya ni 60%

3)Tanzania exports more goods to Kenya than otherwise

4)Excessibility of safe water in Urban's 86%, Rural 72%; Kenya urban 78%, rural 42%

5)Unemployment rate; Kenya 48%, Tanzania 36%^

6)No tribalism with less corruption in TZ

Sasa wewe orodhesha mambo ambayo Kenya imeipita Kenya kwa kutumia ushahidi, sio maneno matupu.
 
Ila vyama vya ushirika si vya serikali vilikuwepo serikali ikavitaifisha na baadae kuvirudisha! Mara nyingi ni vya wakulima japokuwa vinasimamiwa na sheria zilizoundwa na serikali!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wewe unaipenda kenya bana, katika saikolojia unapokuwa unakipenda kitu huwa unachukia unapoona kuna vitu havipo sawa.... By the way kufanya debate na wewe ni kazi sana....coz you are fanatic
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wewe unaipenda kenya bana, katika saikolojia unapokuwa unakipenda kitu huwa unachukia unapoona kuna vitu havipo sawa.... By the way kufanya debate na wewe ni kazi sana....coz you are fanatic
Kweli kabisa, Mimi ninaipenda Kenya kuliko maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…