Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

01bf2118b990b2cd0e4aff7aad489aa0.jpg
"Mimi siyo mwanasiasa na nafanya kazi kulingana na misingi ya kiapo cha utii nilichochukua ili kuwatumikia wakenya, siungi mkono JUBILEE wala NASA au mtu yeyote.

Nasimamia Katiba ya Kenya. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi na kama yeyote hataridhishwa na matokeo ni kiasi tu cha kuleta shauri /malalamiko yenye ushahidi mzuri /wa kutosha na mimi na wenzangu tutafanyia kazi bila kusita.

Kumbuka kwamba namuogopa Mungu peke yake".

Jaji Mkuu David Maraga.
Nafikiri kwao kungekuwa na issue ya serikali 3, kungekuwa hamna ile maneno tuliyaona kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Namuogopa Mungu pekee" - Jaji Maraga.

Kenyatta aende akamsort mkewe. Aache mikwara mbuzi. Hizo pombe zake zitamrudisha The Hague.
 
Kwani wa Tanzania katiba haiwalindi? Umeisoma?

Wanalindwa na dola kwa mbwembwe, maigizo na maelekezo ya mwenyekiti wa ccm.

Ijulikane kabisa hawafati katiba hata kidogo

Mfano
AUGUSTNE RAMADHAN....kuacha ujaji na kugombea urais ngazi ya chama ccm

Tulia naibu spika kuacha ujaji na kupewa ubunge kisha uspika vyote kupitia ccm

Je hawa wanaifuata na kuitii katiba?......

Kuwa wanachama wa ccm wakiwa majaji...kuna kupona hapo akishitakiwa wa upinzani?..... Kunahaki?.....je conflict of interest???

Mmeona wenyewe bunge lilivonajisiwa.... AIBUUU
 
Dada mmoja amesahau password ya kufungulia simu,,,kajaribu Mara 24imejilock,,,inadai Nina LA mamake kama sawli LA security,, na google account na yeye hana na alive msetia hakumbuki,,,he nimsaidieje?

Mkuu Wa mkoa Wa Kilimanjaro je

Sent using Jamii Forums mobile app

Wazando ni ccm
Kitila
Mngwila
Kale nikatawi ka ccm
 
Huyu ndio jaji. Sio wale wengine anatoa hukumu huku mfukoni ana kadi ya chama ambaye kwa vyovyote atai-favor mamlaka iliyompa hicho cheo tuache kufanyana wajinga.

Kuna mmoja alifikia hadi hatua ya kugombea uongozi kupitia chama chake mara baada ya kustaafu. This is truly separation of power among the state organs.
Mnamtia kichwa ,mtakuwepo kwenye maswaibu yake yote na familia yake?
 
01bf2118b990b2cd0e4aff7aad489aa0.jpg
Jaji Mkuu nchini Kenya, David Maraga aliudhihirishia ulimwengu kuwa kuna uhuru wa mahakama katika bara la Afrika ambako agharabu majaji wanaonekana kutetea walio madarakani.

Lakini kwa wanaofahamu vizuri Jaji huyo, hawakushangazwa na uamuzi wake.

Jaji Maraga, amemjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuwashambulia majaji wa mahakama ya juu kufuatia uamuzi wa kubatilisha uchaguzi wake.

"Mimi siyo Mwanasiasa na nafanya kazi kulingana na misingi ya kiapo cha utii nilichochukua ili kuwatumikia wakenya, siungi mkono JUBILEE wala NASA au mtu yeyote.

Nasimamia Katiba ya Kenya. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi na kama yeyote hataridhishwa na matokeo ni kiasi tu cha kuleta shauri/malalamiko yenye ushahidi mzuri/wa kutosha na mimi na wenzangu tutafanyia kazi bila kusita.

Kumbuka kwamba namuogopa Mungu peke yake".

Jaji Mkuu David Maraga.
Huyu jaji safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanalindwa na dola kwa mbwembwe, maigizo na maelekezo ya mwenyekiti wa ccm.

Ijulikane kabisa hawafati katiba hata kidogo

Mfano
AUGUSTNE RAMADHAN....kuacha ujaji na kugombea urais ngazi ya chama ccm

Tulia naibu spika kuacha ujaji na kupewa ubunge kisha uspika vyote kupitia ccm

Je hawa wanaifuata na kuitii katiba?......

Kuwa wanachama wa ccm wakiwa majaji...kuna kupona hapo akishitakiwa wa upinzani?..... Kunahaki?.....je conflict of interest???

Mmeona wenyewe bunge lilivonajisiwa.... AIBUUU
Ndio maana nikauliza, kwani majaji wa Tanzania katiba iliyopo haiwalindi?

Kwa nijuavyo mimi, katiba iliyopo inawalinda na imewapa uhuru wa kutosha.. Kwahiyo kama kuna watakaokubali kuingiliwa ni utashi wao tu na sio kwamba hawalindwi na masharti ya kikatiba.

Hebu naomba unikumbushe mkuu, umesema Tulia alikuwa jaji? Hebu nikumbushe alikuwa jaji wa mahakama gani?
 
Kwani neno jaji = judge.... Judgement kwa akili yako linaishia wapi?

Usikaririshwe maana moja, be a great thinker not a kid
 
Majaji wa kenya wanajiamini kwa sababu katiba inawalinda.

Pamoja na "katiba [inayowalinda"], niongezee ni dhamiri ya mtu hasa ndiye inayompa kusema hayo aliyosema Mheshimiwa Maraga. Moyoni hahukumiwi. Hali rushwa, hapendelei, hapindishi haki, na ni mkweli lazima ajiamini na amwogope Mungu tu.. Kwa hiyo si Katiba tu ni pamoja na dhamiri safi.
 
Huyu ndio jaji. Sio wale wengine anatoa hukumu huku mfukoni ana kadi ya chama ambaye kwa vyovyote atai-favor mamlaka iliyompa hicho cheo tuache kufanyana wajinga.

Kuna mmoja alifikia hadi hatua ya kugombea uongozi kupitia chama chake mara baada ya kustaafu. This is truly separation of power among the state organs.
mnaongeaga hivi mkishashindwa ila mkishinda mnasema mahakama imetenda haki,ndugu zetu definition ya haki kwenh ni pale tuu matokeo yakiwabeba nyinyi ndipo mnakubali mahakama imetenda haki.
 
Jaji wetu hapa Ramadhani alistaafu ujaji halafu uchaguzi akaomba kugombea urais kupitia CCM.Ajabu sana

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Basi mkuu, sikujua kama najadili na mlevi..

Unaweza kuwa unaona lakini akili ya makinikia
Unadanganywa kwa bakishish kidogo miaka zaidi 50 eti upo huru...ndugu zako wanataabika

maji tope
Elimu hakuna
Miundombinu eti bombadia huoni aibu ikiwa kijitaifa cha Rwanda kinamiliki Rwandanair zaid ya ndege 10 bora

Mnapiga makofi kuwafagilia majizi wanojengea punda traffic light geita, uwanja wa ndege chato ili iweje?

Ok mjanja kama wewe unaridhika kuwa na double std....maskini kutimuliwa vyeti feki....bashite anafanya nini ofisini

Ok mjanja kama wewe unaridhika wale watoto waliosajiliwa na serikali ya ccm UDOm kihalali wakafuzwa nakuitwa vilaza.....kwani walivamia pale?

Nk
Amakweli nyani haoni kundule na ujinga wa mjinga hufaidi mzandiki.
 
Back
Top Bottom