Nafikiri kwao kungekuwa na issue ya serikali 3, kungekuwa hamna ile maneno tuliyaona kwetu."Mimi siyo mwanasiasa na nafanya kazi kulingana na misingi ya kiapo cha utii nilichochukua ili kuwatumikia wakenya, siungi mkono JUBILEE wala NASA au mtu yeyote.![]()
Nasimamia Katiba ya Kenya. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi na kama yeyote hataridhishwa na matokeo ni kiasi tu cha kuleta shauri /malalamiko yenye ushahidi mzuri /wa kutosha na mimi na wenzangu tutafanyia kazi bila kusita.
Kumbuka kwamba namuogopa Mungu peke yake".
Jaji Mkuu David Maraga.
Sent using Jamii Forums mobile app