Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

Kijana mdogo, hebu tulia na uvute pumzi ujenge hoja zako sawasawa nijue unazungumza kuhusu nini na umejikita wapi..
 
Jaji wetu hapa Ramadhani alistaafu ujaji halafu uchaguzi akaomba kugombea urais kupitia CCM.Ajabu sana

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Augustine Ramadhan alikosea sana. Yaani miaka yote alikuwa judge kumbe kibindoni ana kadi ya chama chakavu. Akisikia hii ya judge mkuu wa Kenya sijui atajisikiaje.

Sasa hivi ni mchungaji sivyo?

Hawa watu wasanii sana.
 
Nimejikita kwenye akili zako za makinikia mzee
Tatizo lenu kubwa nyie vijana huwa mnakwenda sana na matukio..

Pia mnapojadili huwa mnapenda sana kumuangalia yule mnayejadili naye yupo upande gani..

Jenga hoja, weka hoja na upambane kwa hoja
 
Augustine Ramadhan alikosea sana. Yaani miaka yote alikuwa judge kumbe kibindoni ana kadi ya chama chakavu. Akisikia hii ya judge mkuu wa Kenya sijui atajisikiaje.

Sasa hivi ni mchungaji sivyo?

Hawa watu wasanii sana.
Ni kweli mkuu alikosea sana sana na akiulizwa atasema Alishauriwa agombee na watu wa "system".

Kwa sasa ni mchungaji huko Zanzibar mkuu.


In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hapa kwetu tunaendekeza woga, unafiki, ushabiki kwa vitu vya ajabu, uchama kimoja (ndio unaotumaliza), kuabudiana, ujinga wa hali ya juu hata kwa wale wanaojiita wasomi n.k###$$ Lini Hili taifa litabadilika? Hongereni wakenya mmeudhihirishia ulimwengu kuwa mnajielewa sio kama waleee..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lubuva na yule mzenji nawaonaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenyatta mkubwa aliwahi kusema NYERERE ANAONGOZA MAITI(yaani watz)![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ni wakati sasa wanasiasa wa tz ususani upnzani watambue katba ndo njia sahihi ya kuiondoa ccm madarakani vinginevo wanajdanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha tayari wameanza kusifia kama kawaida yao. Uhuru angeachiwa na wizi wa kura vile vile wangemshangilia. Kaaaz kwel kwel.
 

Great, Courageous man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…