Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

Kenya: Jaji Mkuu amjibu Kenyatta. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi

Upumbavu wako ni ule wa kushikishwa na vilaza ccm

Unaweza kuwa unaona lakini akili ya makinikia

Unadanganywa kwa bakishish kidogo miaka zaidi 50 eti upo huru... kishenzi ndugu zako wanataabika

maji tope

Elimu ushenzi mtu

Miundombinu eti bombadia huoni u-mpumbavu ikiwa kijitaifa cha Rwanda kinamiliki Rwandanair zaid ya ndege 10 bora

Mnapiga makofi kuwafagilia majizi wanojengea punda traffic light geita, uwanja wa ndege chato ili iweje?

Ok mjanja kama wewe unaridhika kuwa na double std....maskini kutimuliwa vyeti feki....bashite anafanya nini ofisini

Ok mjanja kama wewe unaridhika wale watoto waliosajiliwa na serikali ya ccm UDOm kihalali wakafuzwa nakuitwa vilaza.....kwani walivamia pale?

Nk
Amakweli nyani haoni kundule na ujinga wa mjinga hufaidi mzandiki.
Kijana mdogo, hebu tulia na uvute pumzi ujenge hoja zako sawasawa nijue unazungumza kuhusu nini na umejikita wapi..
 
Jaji wetu hapa Ramadhani alistaafu ujaji halafu uchaguzi akaomba kugombea urais kupitia CCM.Ajabu sana

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Augustine Ramadhan alikosea sana. Yaani miaka yote alikuwa judge kumbe kibindoni ana kadi ya chama chakavu. Akisikia hii ya judge mkuu wa Kenya sijui atajisikiaje.

Sasa hivi ni mchungaji sivyo?

Hawa watu wasanii sana.
 
Nimejikita kwenye akili zako za makinikia mzee
Tatizo lenu kubwa nyie vijana huwa mnakwenda sana na matukio..

Pia mnapojadili huwa mnapenda sana kumuangalia yule mnayejadili naye yupo upande gani..

Jenga hoja, weka hoja na upambane kwa hoja
 
Augustine Ramadhan alikosea sana. Yaani miaka yote alikuwa judge kumbe kibindoni ana kadi ya chama chakavu. Akisikia hii ya judge mkuu wa Kenya sijui atajisikiaje.

Sasa hivi ni mchungaji sivyo?

Hawa watu wasanii sana.
Ni kweli mkuu alikosea sana sana na akiulizwa atasema Alishauriwa agombee na watu wa "system".

Kwa sasa ni mchungaji huko Zanzibar mkuu.


In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hapa kwetu tunaendekeza woga, unafiki, ushabiki kwa vitu vya ajabu, uchama kimoja (ndio unaotumaliza), kuabudiana, ujinga wa hali ya juu hata kwa wale wanaojiita wasomi n.k###$$ Lini Hili taifa litabadilika? Hongereni wakenya mmeudhihirishia ulimwengu kuwa mnajielewa sio kama waleee..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta mkubwa aliwahi kusema NYERERE ANAONGOZA MAITI(yaani watz)![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ni wakati sasa wanasiasa wa tz ususani upnzani watambue katba ndo njia sahihi ya kuiondoa ccm madarakani vinginevo wanajdanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha tayari wameanza kusifia kama kawaida yao. Uhuru angeachiwa na wizi wa kura vile vile wangemshangilia. Kaaaz kwel kwel.
 
01bf2118b990b2cd0e4aff7aad489aa0.jpg

"Mimi siyo Mwanasiasa na nafanya kazi kulingana na misingi ya kiapo cha utii nilichochukua ili kuwatumikia Wakenya, siungi mkono JUBILEE wala NASA au mtu yeyote.

Nasimamia Katiba ya Kenya. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi na kama yeyote hataridhishwa na matokeo ni kiasi tu cha kuleta shauri/malalamiko yenye ushahidi mzuri/wa kutosha na mimi na wenzangu tutafanyia kazi bila kusita.

Jaji Mkuu David Maraga.

Great, Courageous man.
 
Back
Top Bottom