Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje kama na huyu akistaafu atajiunga na NASA?Huyu ndio jaji. Sio wale wengine anatoa hukumu huku mfukoni ana kadi ya chama ambaye kwa vyovyote atai-favor mamlaka iliyompa hicho cheo tuache kufanyana wajinga.
Kuna mmoja alifikia hadi hatua ya kugombea uongozi kupitia chama chake mara baada ya kustaafu. This is truly separation of power among the state organs.
Unafahamu katiba ya nchi yako inasema nini juu ya hao unaodhani hawapo sahihi kama hao wa Kenya?Huyu ndio jaji. Sio wale wengine anatoa hukumu huku mfukoni ana kadi ya chama ambaye kwa vyovyote atai-favor mamlaka iliyompa hicho cheo tuache kufanyana wajinga.
Kuna mmoja alifikia hadi hatua ya kugombea uongozi kupitia chama chake mara baada ya kustaafu. This is truly separation of power among the state organs.
😀😀😀😀😀😀😀 nimecheka sana MKUU, kukurupuka kubaya sanaBasi mkuu, sikujua kama najadili na mlevi..
Tena wengine tayari wameshaanza kusema eti wanahamia Kenya...Watanzania acheni kutamani vitu ambavyo hamuwezi kuvifanyia kazi...
Sasa mtu hata haelewi anasimamia hoja gani utajadili nini naye mkuu?😀😀😀😀😀😀😀 nimecheka sana MKUU, kukurupuka kubaya sana
Hahaha...umetisha jamaa! eti akifa shehe ni nini na mlevi ni nini?Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Jaji Mkuu nchini Kenya, David Maraga aliudhihirishia ulimwengu kuwa kuna uhuru wa mahakama katika bara la Afrika ambako agharabu majaji wanaonekana kutetea walio madarakani.![]()
Lakini kwa wanaofahamu vizuri Jaji huyo, hawakushangazwa na uamuzi wake wa kubatilisha uchaguzi wa nchi hiyo.
Jaji Maraga, amemjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuwashambulia majaji wa mahakama ya juu ya nchini humo.
"Mimi siyo Mwanasiasa na nafanya kazi kulingana na misingi ya kiapo cha utii nilichochukua ili kuwatumikia Wakenya, siungi mkono JUBILEE wala NASA au mtu yeyote.
Nasimamia Katiba ya Kenya. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi na kama yeyote hataridhishwa na matokeo ni kiasi tu cha kuleta shauri/malalamiko yenye ushahidi mzuri/wa kutosha na mimi na wenzangu tutafanyia kazi bila kusita.
Kumbuka kwamba namuogopa Mungu peke yake".
Jaji Mkuu David Maraga.
Aisee tangu mawaziri walivyoitwa wapumbavu kadamnasi,na hadi leo hakuna aliyejiuzulu basi tuna safari ndefu sana kama taifa.
Lubuva...ccm
Tulia....ccm
Augustin... Ccm
Mtungi...ccm
Kanali shimbo...ccm
Mawazri wote...ccm
Wakuu wa mikoa...ccm
Wakuu wa wilaya...ccm
Nknk
Tanzania...mali ya ccm
wewe kama ni mtanzania basi umezaliwa baada ya kwaka 1994.Huyo unayemsema alipata wapi kadi ya chama na kisha yeyw kugombea uongozi (RAIS) km yeye alikuwa JAJI?
HAYA NI MAAJABU YA 10 YA DUNIA HII
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuweke kumbu kumbu sawasawa Tulia hajawahi kuwa Judge bali alikuwa naibu mwanasheria mkuuWanalindwa na dola kwa mbwembwe, maigizo na maelekezo ya mwenyekiti wa ccm.
Ijulikane kabisa hawafati katiba hata kidogo
Mfano
AUGUSTNE RAMADHAN....kuacha ujaji na kugombea urais ngazi ya chama ccm
Tulia naibu spika kuacha ujaji na kupewa ubunge kisha uspika vyote kupitia ccm
Je hawa wanaifuata na kuitii katiba?......
Kuwa wanachama wa ccm wakiwa majaji...kuna kupona hapo akishitakiwa wa upinzani?..... Kunahaki?.....je conflict of interest???
Mmeona wenyewe bunge lilivonajisiwa.... AIBUUU
Life and death,ni mara chache sana kukuta mtu wa imani kama hii katika uongozi,unakula kiapo na unakifanyia kazi,haijalishi kama utakufa au utateswa lakini imani yako kwa Mungu ndio itakuweka huru.Jaji Mkuu nchini Kenya, David Maraga aliudhihirishia ulimwengu kuwa kuna uhuru wa mahakama katika bara la Afrika ambako agharabu majaji wanaonekana kutetea walio madarakani.![]()
Lakini kwa wanaofahamu vizuri Jaji huyo, hawakushangazwa na uamuzi wake wa kubatilisha uchaguzi wa nchi hiyo.
Jaji Maraga, amemjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuwashambulia majaji wa mahakama ya juu ya nchini humo.
"Mimi siyo Mwanasiasa na nafanya kazi kulingana na misingi ya kiapo cha utii nilichochukua ili kuwatumikia Wakenya, siungi mkono JUBILEE wala NASA au mtu yeyote.
Nasimamia Katiba ya Kenya. Nendeni mkashindane kwenye uchaguzi na kama yeyote hataridhishwa na matokeo ni kiasi tu cha kuleta shauri/malalamiko yenye ushahidi mzuri/wa kutosha na mimi na wenzangu tutafanyia kazi bila kusita.
Kumbuka kwamba namuogopa Mungu peke yake".
Jaji Mkuu David Maraga.
wanajamini sana sana,hawategemei kuchaguliwa na raisi ili awe kibaraka wake,hence we see separation of power in kenya
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*