Kenya kama kwetu, Maandamano halali na haramu sambamba leo

Waliotaka Unga ushuke bei hadi Ksh 230 kwa kilo

Ruto kashusha hadi Ksh 160 kwa kilo

Raila atajua hajui!
Kwamba kashusha bei ya unga tu?

"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."

Hayo mengine kamuachia nani?
 
Si Kenya, si Ruto, Gachagua au genge lao wenye kuafikiana na mawazo yako. Kwamba pamoja na hivyo bado hujishangai? Bila shaka utakuwa ni mmoja wa ile mivijana ya hovyo akiiongelea jiwe masikitiko makubwa!
Ni hivi hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana. Naangalia mustakabali wa uchumi wa nchi jirani kwa upana wake. Siyo kila haki ya raia lazima iwe exercised kila wakati. Kuna li kitu likubwa linaitwa public interest. Kupanda kwa bei za vyakula na hali ya maisha kuwa ngumu haviwezi kuwa vimesababishwa na Ruto aliyeipokea nchi kutoka kwa Kenyatta less than six months ago.

Najua pia kuna gap kubwa ya knowledge kati yangu na yako. Hali kadhalika najua kuna tofauti kubwa sana ya kielimu kati yangu na yako. Pokea haya madini ukigonga kongo kifua na kukiri kwamba umepata bahati ya kufundishwa na mwanazuoni mbobezi
 
Mwenye madini utakuwa wewe ndugu? Wenye madini hawasemi wao bali madini yao huongea yenyewe. Kiroho safi kabisa (it's nothing personal).
 
Naungana na Ruto kukuambia utajua hujui
 
Fisiemu watakuwa wamemshauri Ruto vibaya hapa.
Walimshauri kupiga marufuku vyombo vya habari kurusha habari za maandamano ikadunda. Wakiona kinaendelea kunuka huko wanajua nao dawa yao inachemka.

Mahakama na bunge huru vyenye meno ndiyo tunavyokosa.

Habari ziwafikie fisi hao kokote waliko. Tunakijua tunachotaka.

"Tunataka katiba mpya sasa, yenye kutuhakikishia hayo."

Si pungufu!
 
Kwamba kashusha bei ya unga tu?

"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."

Hayo mengine kamuachia nani?
Bunge
 
Naungana na wakenya kukuambia:

Ruto atajua hajui.
Kibaya ni kwamba wataitia kiberiti nchi yao kwa mikono yao wenyewe. Machafuko au vita siyo option sahihi kwa mambo yanayoweza kutatulika vibarazani.

Cha kusikitisha, wahanga wa vita na machafuko ni walala hoi hao hao pamoja na akina mama na watoto ili hali hao big shots wataiacha nchi kwenye majivu wakitimkia nchi zenye usalama.

Tazama yanayoendelea Sudani na yale yaliyotokea Somalia. Hekima ya kiongozi inapimwa kwa namna anavyoweza kuthibiti mihemuko ya wafuasi wake na ku pursue peaceful and amicable resolution of political disputes

Natoa heshima wakati wote kwa Edward Lowasa na Freeman Mbowe
 
Tatizo ni wenye madaraka kutotokea kwenye mazungumzo wakiwa na nia njema.

Angalia hii mbuzi:

Huyu anaelewa nini kuhusiana na maridhiano yenye tija? Huyu si kama kina Tyson wa kwetu tu?

"Huwezi kuja kwenye maridhiano na misimamo yako mfukoni."

Dawa ya moto ni moto!

Tutaelewana tu.
 
Raila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba:

1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi.

Hizo ni ofisi za umma na katiba inawaruhusu kufanya hivyo kwa amani.

"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."

#Maandamano: Protests will begin at 6am, defiant Raila tells Ruto

Haramu huu wategemee sekeseke na polisi kama kwetu tu awamu ile.

Upande wa pili ni ule wa watawala, yaani Kenya Kwanza. Huu utafanyikia nyumbani kwa rais mataafu wa huko, bwana Uhuru Kenyatta. Kenya Kwanza inamtambua huyu, kuwa ndiyo kinara wa maandamano ya Odinga.
Madai makubwa ya Kenya Kwanza ni Uhuru kutambua kuwa walioko madarakani sasa hivi ni wao, na si yeye. Hivyo awape muda japo wa kupumua basi? Hawa songombingo za polisi kama CCM vile halitawahusu.

CS Kuria: We will hold our own protest outside Uhuru's home

"kumbe wenye kuona ukabila kwenye maandamano ya huko ni sisi tu wa kule Mburahati."
Watakuambia watoto wao wana uraia wa USA. Bongo hiyo
 
Kwa ujumla utawala wa Ruto una hali ngumu sana. Mazingira ya kiuchumi yanammaliza haswa.

Kama ingekuwa uchumi unaenda vizuri, pengine vizuri zaidi kuliko wakati wa uongozi wa Uhuru, watu wa kumwunga mkomo wangekuwa wengi. Lakini kwa sasa, watu wanakosa mishahara wakati huko nyuma haijawahi kutokea. Gharama za maisha zinapanda kwa kasi, hakuna ongezeko la mishahara. Kutokana na kuelemewa na madeni, na nchi kutoweza kuendelea kukopa, ina maana hakutakuwa na miradi mipya ya kuwaonesha wananchi. Kama ana weledi, japo kidogo, anastahili kuwa mpole na kukaa pamoja na wapinzani wake ili kipindi hiki kigumu cha uchumi wa Kenya, kusiwepo na pressure nyingi kutoka pande nyingi.

Kanuni ya uchumi ni kwamba kukiwa na mtikisiko, inajengeka hofu kwa wawekezaji, hivyo kipindi hiki, iwe ni wawekezaji wa ndani au nje, wote wataogopa kuwekeza Kenya.

Mataifa jirani, yatanufaika kwa kuwapata wawekezaji wengi toka Kenya, kama ilivyotokea nchini mwetu wakati wa Serikali ya awamu ya 5.
 
Wakenya wanajitahidi kuiwajibisha serikali tofauti na watanzania wengi ni kusifia tu huku serijaki ikifanya mamvo ya hovyo haijawahi kutokea toka uhuru.taarifa y CAG imeonesha uhovyo wa serikali ya sasa ya tanzani
 
1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi.

Yote kwa mujibu wa katiba ya huko.
Wapumbavu tu wao na babu mjaruo
 
Ni hivi hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana. Naangalia mustakabali wa uchumi wa nchi jirani kwa upana wake. Siyo kila haki ya raia lazima iwe exercised kila wakati. Kuna li kitu likubwa linaitwa public interest. Kupanda kwa bei za vyakula na hali ya maisha kuwa ngumu haviwezi kuwa vimesababishwa na Ruto aliyeipokea nchi kutoka kwa Kenyatta less than six months ago.

Najua pia kuna gap kubwa ya knowledge kati yangu na yako. Hali kadhalika najua kuna tofauti kubwa sana ya kielimu kati yangu na yako. Pokea haya madini ukigonga kongo kifua na kukiri kwamba umepata bahati ya kufundishwa na mwanazuoni mbobezi
Hakika
 
Back
Top Bottom