- Thread starter
- #61
Ukabila wa wakeny uko tanzania tu😅😅
Tuna majamaa kama yamerogwa. Yanaambiwa kila siku:
Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?
Paragraph nzima iliwekwa kwa ajili ya hawa wajuzi uchwara wa design za kina Yoda:
"Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine) wanakodai kuwa hizi ni harakati za wajaluo au kuwa hata ni za kikabila, isipokuwa Tanzania. Maana kamili ya kuwa mtanzania ni mjuaji mno!"
Tangu lini Uhuru, Karua au Musyoka wakawa wajaluo?
Tatizo - ujuaji uliopitiliza!