Kwamba kashusha bei ya unga tu?Waliotaka Unga ushuke bei hadi Ksh 230 kwa kilo
Ruto kashusha hadi Ksh 160 kwa kilo
Raila atajua hajui!
Ni hivi hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana. Naangalia mustakabali wa uchumi wa nchi jirani kwa upana wake. Siyo kila haki ya raia lazima iwe exercised kila wakati. Kuna li kitu likubwa linaitwa public interest. Kupanda kwa bei za vyakula na hali ya maisha kuwa ngumu haviwezi kuwa vimesababishwa na Ruto aliyeipokea nchi kutoka kwa Kenyatta less than six months ago.Si Kenya, si Ruto, Gachagua au genge lao wenye kuafikiana na mawazo yako. Kwamba pamoja na hivyo bado hujishangai? Bila shaka utakuwa ni mmoja wa ile mivijana ya hovyo akiiongelea jiwe masikitiko makubwa!
Ni hivi hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana. Naangalia mustakabali wa uchumi wa nchi jirani kwa upana wake. Siyo kila haki ya raia lazima iwe exercised kila wakati. Kuna li kitu likubwa linaitwa public interest. Kupanda kwa bei za vyakula na hali ya maisha kuwa ngumu haviwezi kuwa vimesababishwa na Ruto aliyeipokea nchi kutoka kwa Kenyatta less than six months ago.
Najua pia kuna gap kubwa ya knowledge kati yangu na yako. Hali kadhalika najua kuna tofauti kubwa sana ya kielimu kati yangu na yako. Pokea haya madini ukigonga kongo kifua na kukiri kwamba umepata bahati ya kufundishwa na mwanazuoni mbobezi
Fisiemu watakuwa wamemshauri Ruto vibaya hapa.Ruto atayameza maneno yake leo, washauri wake wamemdanganya kakaa pabaya sana kisiasa,
Naungana na Ruto kukuambia utajua hujuiMwenye madini utakuwa wewe ndugu? Wenye madini hawasemi wao bali madini yao huongea yenyewe. Kiroho safi kabisa (it's nothing personal).
Walimshauri kupiga marufuku vyombo vya habari kurusha habari za maandamano ikadunda. Wakiona kinaendelea kunuka huko wanajua nao dawa yao inachemka.Fisiemu watakuwa wamemshauri Ruto vibaya hapa.
Naungana na wakenya kukuambia:Naungana na Ruto kukuambia utajua hujui
BungeKwamba kashusha bei ya unga tu?
"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."
Hayo mengine kamuachia nani?
Ruto piga huyo mzee
Anajificha kwenye demokrasia ya maandamano kuleta fujo
Hoja zake zimejulikana tayari angoje zifanyiwe kazi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kibaya ni kwamba wataitia kiberiti nchi yao kwa mikono yao wenyewe. Machafuko au vita siyo option sahihi kwa mambo yanayoweza kutatulika vibarazani.Naungana na wakenya kukuambia:
Ruto atajua hajui.
Tatizo ni wenye madaraka kutotokea kwenye mazungumzo wakiwa na nia njema.Kibaya ni kwamba wataitia kiberiti nchi yao kwa mikono yao wenyewe. Machafuko au vita siyo option sahihi kwa mambo yanayoweza kutatulika vibarazani.
Cha kusikitisha, wahanga wa vita na machafuko ni walala hoi hao hao pamoja na akina mama na watoto ili hali hao big shots wataiacha nchi kwenye majivu wakitimkia nchi zenye usalama.
Tazama yanayoendelea Sudani na yale yaliyotokea Somalia. Hekima ya kiongozi inapimwa kwa namna anavyoweza kuthibiti mihemuko ya wafuasi wake na ku pursue peaceful and amicable resolution of political disputes
Natoa heshima wakati wote kwa Edward Lowasa na Freeman Mbowe
Hata mafisi yana yaoBunge
Hadi amekonda sanaHalafu jamaa mwoga kweli sijui kama miaka 5 atamaliza
Watakuambia watoto wao wana uraia wa USA. Bongo hiyoRaila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba:
1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi.
Hizo ni ofisi za umma na katiba inawaruhusu kufanya hivyo kwa amani.
"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."
#Maandamano: Protests will begin at 6am, defiant Raila tells Ruto
Haramu huu wategemee sekeseke na polisi kama kwetu tu awamu ile.
Upande wa pili ni ule wa watawala, yaani Kenya Kwanza. Huu utafanyikia nyumbani kwa rais mataafu wa huko, bwana Uhuru Kenyatta. Kenya Kwanza inamtambua huyu, kuwa ndiyo kinara wa maandamano ya Odinga.
Madai makubwa ya Kenya Kwanza ni Uhuru kutambua kuwa walioko madarakani sasa hivi ni wao, na si yeye. Hivyo awape muda japo wa kupumua basi? Hawa songombingo za polisi kama CCM vile halitawahusu.
CS Kuria: We will hold our own protest outside Uhuru's home
"kumbe wenye kuona ukabila kwenye maandamano ya huko ni sisi tu wa kule Mburahati."
Wapumbavu tu wao na babu mjaruo1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi.
Yote kwa mujibu wa katiba ya huko.
HakikaNi hivi hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana. Naangalia mustakabali wa uchumi wa nchi jirani kwa upana wake. Siyo kila haki ya raia lazima iwe exercised kila wakati. Kuna li kitu likubwa linaitwa public interest. Kupanda kwa bei za vyakula na hali ya maisha kuwa ngumu haviwezi kuwa vimesababishwa na Ruto aliyeipokea nchi kutoka kwa Kenyatta less than six months ago.
Najua pia kuna gap kubwa ya knowledge kati yangu na yako. Hali kadhalika najua kuna tofauti kubwa sana ya kielimu kati yangu na yako. Pokea haya madini ukigonga kongo kifua na kukiri kwamba umepata bahati ya kufundishwa na mwanazuoni mbobezi