Mama kaongea mishahara tuliza kalio. Ya wakenya waachie wao. Kwa sasa unaongoza kwa kiherehere humuTatizo ni wenye madaraka kutotokea kwenye mazungumzo wakiwa na nia njema.
Angalia hii mbuzi:
View attachment 2606882
Huyu anaelewa nini kuhusiana na maridhiano yenye tija? Huyu si kama kina Tyson wa kwetu tu?
"Huwezi kuja kwenye maridhiano na misimamo yako mfukoni."
Dawa ya moto ni moto!
Tutaelewana tu.
Mama kaongea mishahara tuliza kalio. Ya wakenya waachie wao. Kwa sasa unaongoza kwa kiherehere humu
Wakenya wanajitahidi kuiwajibisha serikali tofauti na watanzania wengi ni kusifia tu huku serijaki ikifanya mamvo ya hovyo haijawahi kutokea toka uhuru.taarifa y CAG imeonesha uhovyo wa serikali ya sasa ya tanzani
Mjinga kivipi?. Punguza matusi.Hilo zeee ni jinga sana. Ni li kiazi mbatata
Mitaa Ya Murugwanza karibuNinakazia:
1. Wasiokuwa tayari kuipigania katiba mpya waufyate
2. "kumbe wenye kuona ukabila kwenye maandamano ya huko ni sisi tu wa kule Mburahati."
Kwema Ngara pande za Nyamiaga huko?
Tatizo hao waandamanaji wengi ni wezi wanaiba mali za watu serikali isifumbie macho huo upuuzi.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Maandamano halali kisheria japo mtawala anayaita haramu, lakini waandamanaji kwa kutambua haki zao wanaandamana bila kuogopa kitisho cha mtawala wa vyombo vya dola.
Tujiulize, Vipi kwetu tupo tayari hata kama Katiba Mpya ikipatikana ambayo inaweza isiondoe vitisho vya watawala licha ya sheria kuruhusu maandamano?
Wakenya wanajielewa, sisi tuliokulia kwenye siasa ya udanganyifu ya ujamaa ni matatizo matupu.
ndiyo maana nimekwambia Siasa ya udanganyifu ya ujamaa imetulemaza.Kujielewa huku hakutoki mbinguni.
Vinavyoelea vimeundwa!
Kwetu watu wamehamasishwa ya kutosha kuchukua hatua? Nani anafanya kazi hiyo?
Lissu ndie Odinga wetu bahati mbaya yupo kimya..Watu huwa hawako tayari bila kutayarishwa. Cha kujiuliza ni kuwa wametayarishwa? Yuko wapi Raila Amolo Odinga?
Mwone hapa alivyokuwa shupavu:
View attachment 2608431
"Same meeting point, same people, same petitions!"
Ruto lazima apate tumbo la kuhara
Ukabila wa wakeny uko tanzania tu😅😅Raila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba:
1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi.
Hizo ni ofisi za umma na katiba inawaruhusu kufanya hivyo kwa amani.
"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."
#Maandamano: Protests will begin at 6am, defiant Raila tells Ruto
Haramu huu wategemee sekeseke na polisi kama kwetu tu awamu ile.
Upande wa pili ni ule wa watawala, yaani Kenya Kwanza. Huu utafanyikia nyumbani kwa rais mataafu wa huko, bwana Uhuru Kenyatta. Kenya Kwanza inamtambua huyu, kuwa ndiyo kinara wa maandamano ya Odinga.
Madai makubwa ya Kenya Kwanza ni Uhuru kutambua kuwa walioko madarakani sasa hivi ni wao, na si yeye. Hivyo awape muda japo wa kupumua basi? Hawa songombingo za polisi kama CCM vile halitawahusu.
CS Kuria: We will hold our own protest outside Uhuru's home
"kumbe wenye kuona ukabila kwenye maandamano ya huko ni sisi tu wa kule Mburahati."
Lissu ameshafanya sehemu yake hadi akapita kwenye Tundu la Sindano.Lissu ndie Odinga wetu bahati mbaya yupo kimya..
Nawakubali sana hawa Jamaa kwa mikakati!Raila Odinga (baba) atakuwapo barabarani leo 0600 kwenye maandamano yaliyoitwa haramu na serikali huko. Kwamba:
1. Wana ujumbe wao kupeleka ikulu
2. Wana ujumbe wao kupeleka hazina
3. Wana ujumbe wao kupeleka tume ya uchaguzi.
Hizo ni ofisi za umma na katiba inawaruhusu kufanya hivyo kwa amani.
"Kwamba gharama za maisha zishuke, shakahola watu walikufa, mishahara jana haikupanda, servers (vyungu) havijafungiliwa nk, ni uvunjifu wa katiba ya Kenya kuyaharamisha maandamano yao."
#Maandamano: Protests will begin at 6am, defiant Raila tells Ruto
Haramu huu wategemee sekeseke na polisi kama kwetu tu awamu ile.
Upande wa pili ni ule wa watawala, yaani Kenya Kwanza. Huu utafanyikia nyumbani kwa rais mataafu wa huko, bwana Uhuru Kenyatta. Kenya Kwanza inamtambua huyu, kuwa ndiyo kinara wa maandamano ya Odinga.
Madai makubwa ya Kenya Kwanza ni Uhuru kutambua kuwa walioko madarakani sasa hivi ni wao, na si yeye. Hivyo awape muda japo wa kupumua basi? Hawa songombingo za polisi kama CCM vile halitawahusu.
CS Kuria: We will hold our own protest outside Uhuru's home
"kumbe wenye kuona ukabila kwenye maandamano ya huko ni sisi tu wa kule Mburahati."
Nawakubali sana hawa Jamaa kwa mikakati!View attachment 2608706