Kenya kama kwetu, Maandamano halali na haramu sambamba leo

Ukabila wa wakeny uko tanzania tuπŸ˜…πŸ˜…

Tuna majamaa kama yamerogwa. Yanaambiwa kila siku:

Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

Paragraph nzima iliwekwa kwa ajili ya hawa wajuzi uchwara wa design za kina Yoda:

"Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine) wanakodai kuwa hizi ni harakati za wajaluo au kuwa hata ni za kikabila, isipokuwa Tanzania. Maana kamili ya kuwa mtanzania ni mjuaji mno!"

Tangu lini Uhuru, Karua au Musyoka wakawa wajaluo?

Tatizo - ujuaji uliopitiliza!
 
Lissu ndie Odinga wetu bahati mbaya yupo kimya..

Nadhani hayuko kimya ila kama wewe kama mimi Hana kauli ya mwisho kwenye chama.

Tuko kama France au Argentina kwenye la dunia halafu Messi au Mbape tumewaweka benchi.

Tupaze sauti. Pamoja na maoni mazuri ya kocha, sisi kama Argentina tunamhitaji Messi uwanjani Sasa
 
Hizo ni hoja za Akin Kulwa Jilala
 
Sawa mwiguru rameki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…