Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii.
Your browser is not able to display this video.
Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na kanuni za mazingira, hasa katika maeneo ya makazi, ili kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Huku Tanzania ndo wamezidi ni kero haswa kanisa lipo kwenye makazi ya watu halafu kelele wameweka spika kubwakubwa!,muda mwengine huwa najifikiria sijui naishi kwenye jamii gani!.
halafu sio kwamba viongozi hawaoni,ila ni kama wanaacha tu aijui wanaogopa nini..? na nahisi rushwa inachangia utitiri!
jamii huku chini inaozeshwa sana na mambo ya imani watu ukiwaambia wanakuona kama jitu la shetani! Africa sijui tu dah!
Ninapoishi cku hz siwashi redio na tv na angaliaa Kwa tabu Sanaa maana nimezungukwa na makanisa 5 matatu ya kilokole mawili n kkkt na katolic hawa hawanaga kelelle na ibada n jpili tu ,ss hawa walokole jmnπ π π π ππ jtatu mpk jtatu n kelele mpk bc tushashtaki Sanaa tunaitwa ma freemason hatupendi neno la MUNGU aiseee ,kanisa hili wikii n mkutano ,wiki ijayo lingine yaan km yanashindana Kutafuta wauminii na ktk hyo mikutano hakuna ht kinachohubiriwa n utasikia tu jiooooooooniiiiiii ya Leo mbengu zitafunguka