Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Here the whole family in Kenya survive on eating dog meat while in Nairobi'so Upperhill an acre of land costs Tshs 11 bln! Young man, pride n humbleness should go hand in hand.
Here the whole family in Kenya survive on eating dog meat while in Nairobi'so Upperhill an acre of land costs Tshs 11 bln! Young man, pride n humbleness should go hand in hand.
So sad,
Halafu mtu anafungua Uzi eti square metre in upperhill,
Wakenya ni Bogus sana.
Uliwasaidia je hao watoto am uliishia kulia tu?Ndugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!
Kila la Heri, man!
Wap ardhi inauzwa Tshs 11 bln per acre?Ndugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!
Kila la Heri, man!
Here the whole family in Kenya survive on eating dog meat while in Nairobi'so Upperhill an acre of land costs Tshs 11 bln! Young man, pride n humbleness should go hand in hand.
Wap ardhi inauzwa Tshs 11 bln per acre?
Naona una utu pia. Hivyo sivyo nilivyokudhania hapo awali. Nakubaliana nawe, kusaidia wasiojiweza ni jukumu letu sote. Ni Kazi muhimu.Ndugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!
Kila la Heri, man!
KichwaNgumu254 na Jay456watt hapa ndo mnaongoza! Plus flying toilets n hunger and the whole World knows!