Jibu la swali gani?ndo maana!!sasa nimepata jibu...
So sad, government cares only those who live in Nairobi but not Kibera and others
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la swali gani?ndo maana!!sasa nimepata jibu...
Unazeeka vibaya wewe, au umesahau kuwa Tanzania ni nchi maskini LDC na Kenya ni Middle Income?Ndugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!
Kila la Heri, man!
kuna maswali mob sana nilikuwa najiuliza kwa kichwa changu kuhusu hii issue ya maziwa!!sasa nimeanza kuelewa...Jibu la swali gani?
So sad, government cares only those who live in Nairobi but not Kibera and others
Andika Kwa kingereza tuu,huu upupu wako unaharibu lugha hii adhimu ya kiswahilimbona walia.. ama Kuuuuma imkuwasha.. mjinga wa mtanzania wewe
Maliziayou can read numbers.. wow first Tanzanian i've met who can
Cc:mkikuyu akili timamuAs sweet as dog's milk😀😀😀😀
https://www.google.com/url?sa=t&rct...=DO_aJ-Ds3s8&usg=AOvVaw2Dwcw9FUcHDQ-pWpC_bg25
vipi mkuu, thread zangu imebidi wakuiite. zingine imebidi mod wazitupe nje baada ya simu kutoka ikulu. YoungD one man army ni moto wa kuotea mbali.Sasa kama watu wanakunywa dog milk n live covered? What can any Kenyan argue in here?
Na wewe umekuzwa kwa maziwa ya mbwa?vipi mkuu, thread zangu imebidi wakuiite. zingine imebidi mod wazitupe nje baada ya simu kutoka ikulu. YoungD one man army ni moto wa kuotea mbali.
leo tz propaganda machine ilibidi mjumuike ikulu kusomewa riot act na Kim Jong un, naskia pia kichapo mlipata kutoka kwa 'wasiojulikana'.
vipi wewe umekula leo? 4.2 million urban dwellers in tanzania suffer hunger.Na wewe umekuzwa kwa maziwa ya mbwa?
Geza sijui leo unabahati gani kupatikana sasa manake uwa kwa kawaida unatumia office internet. Ebu tazama uko peke yako sasa manake bongo nzima wako nyumbani with no free internet to use vifurushi vimewaishia. Wakenya watatu tu leo tutamchemshea nchi nzima Asubui Mwamkiee mafuriko.Na wewe umekuzwa kwa maziwa ya mbwa?
Geza sijui leo unabahati gani kuoatikana sasa manake uwa kwa kawaida unatumia office internet. Ebu tazama uko peke yako sasa manake bongo nzima wako nyumbani with no free internet to use vifurushi vimewaishia. Wakenya watatu tu leo tutamchemshea nchi nzima Asubui Mwamkiee mafuriko.
hehe hao millionare wa kwenye makaratasi kiuhalisia hakuna kitu hao ni wazee wakupika GDP mpaka inaungua 😀😀😀😀😀😀Hao ndio wakenya wenye land yao yenye gharama kuliko land ya tz na wana mamillionea wa kutosha kuliko nchi zote za east africa ukizicombine
hatuwasemi ila wanaelezwa ukweli wasioupenda hawa ni watu kupenda sifa zakipuuzi na kujifanya wao ni bora zaidi lakin ukiangalia maisha yao kiundani unaeza kulia mchozi ya damu wanatia hurumaNdugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!
Kila la Heri, man!