Kenya kids survive on dog milk

Kenya kids survive on dog milk

Ndugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!

Kila la Heri, man!
Unazeeka vibaya wewe, au umesahau kuwa Tanzania ni nchi maskini LDC na Kenya ni Middle Income?
Mzee wewe ni mgeni humu?
 
Jibu la swali gani?

So sad, government cares only those who live in Nairobi but not Kibera and others
kuna maswali mob sana nilikuwa najiuliza kwa kichwa changu kuhusu hii issue ya maziwa!!sasa nimeanza kuelewa...
 
Hii kitu imetoka mainstream media tena from Kenya
 
Received request from a good samaritan wants to help these two kids, can anyone in here link me with these kids?
 
Hiyo ni shida kabisa. Kama watu wazima milion 4 wana kumbwa na njaa. Jee watoto si hali itakuwa mbaya zaidi!!??
 
Sasa kama watu wanakunywa dog milk n live covered? What can any Kenyan argue in here?
 
Sasa kama watu wanakunywa dog milk n live covered? What can any Kenyan argue in here?
vipi mkuu, thread zangu imebidi wakuiite. zingine imebidi mod wazitupe nje baada ya simu kutoka ikulu. YoungD one man army ni moto wa kuotea mbali.
leo tz propaganda machine ilibidi mjumuike ikulu kusomewa riot act na Kim Jong un, naskia pia kichapo mlipata kutoka kwa 'wasiojulikana'.
 
Na wewe umekuzwa kwa maziwa ya mbwa?
 
Na wewe umekuzwa kwa maziwa ya mbwa?
Geza sijui leo unabahati gani kupatikana sasa manake uwa kwa kawaida unatumia office internet. Ebu tazama uko peke yako sasa manake bongo nzima wako nyumbani with no free internet to use vifurushi vimewaishia. Wakenya watatu tu leo tutamchemshea nchi nzima Asubui Mwamkiee mafuriko.
 
Geza sijui leo unabahati gani kuoatikana sasa manake uwa kwa kawaida unatumia office internet. Ebu tazama uko peke yako sasa manake bongo nzima wako nyumbani with no free internet to use vifurushi vimewaishia. Wakenya watatu tu leo tutamchemshea nchi nzima Asubui Mwamkiee mafuriko.

index-2.jpg

wamepewa kichapo cha kufa mtu pale ikulu na wasiojulikana kwa kutolewa jasho na YoungD hadi mada zinahamishwa na kurushwa mvunguni.
 
Hao ndio wakenya wenye land yao yenye gharama kuliko land ya tz na wana mamillionea wa kutosha kuliko nchi zote za east africa ukizicombine
hehe hao millionare wa kwenye makaratasi kiuhalisia hakuna kitu hao ni wazee wakupika GDP mpaka inaungua 😀😀😀😀😀😀
 
Ndugu hapo nawatetea Wakenya, kwenye hili hata Watanzania hatuko tofauti, watoto wamejaa mitaani city center wanalala chini na tunawapita kuingia kwenye mavila yetu pia, hivyo sioni kama ni busara kuwaashambulia Wakenya kwenye hili kwani hata sisi ni hivyo hivyo si ajabu tofauti ni kwamba labda kwenye maisha yako ya kila siku haukutani na haya matatizo, mimi binafsi nimeona watoto wakipata shida hapa kwetu na machozi yalinitoka na Uanaume wangu, hivyo tuwe realistic na tubadilike tujaribu kusaidia, tusifunge macho na kupita, ukiona mtoto mtaani msaidie unavyoweza!!

Kila la Heri, man!
hatuwasemi ila wanaelezwa ukweli wasioupenda hawa ni watu kupenda sifa zakipuuzi na kujifanya wao ni bora zaidi lakin ukiangalia maisha yao kiundani unaeza kulia mchozi ya damu wanatia huruma
 
Back
Top Bottom