BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hamia kenya,uraia watakupa tuKenya ni Nchi ya watu wanaojitambua tofauti na Tanzania ambayo wamelala usingizi.
Watawekaje wazi mzee hawa wa giningiKenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
View attachment 3153939
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
View attachment 3153940
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri wala walicho azimia.Sana unakuta ni vikao vya kuuza nchi kwa wageni. Au vikao vya jinsi ya kukandamiza upizani.
Uhamiaji Tanzania wamenikatalia.wanadai wanataka waendelee kunikata Kodi zao kandamizi.Hamia kenya,uraia watakupa tu
Walking corpse ndo Tanzania kipi tunaweza? Kenya na Uganda wana matumaini kuliko hi dead countryKenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
View attachment 3153939
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
View attachment 3153940
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri wala walicho azimia.Sana unakuta ni vikao vya kuuza nchi kwa wageni. Au vikao vya jinsi ya kukandamiza upizani.
SahihiKenya ni Nchi ya watu wanaojitambua tofauti na Tanzania ambayo wamelala usingizi.
Hahaha.....mkuu unatukatisha tamaaWalking corpse ndo Tanzania kipi tunaweza? Kenya na Uganda wana matumaini kuliko hi dead country
Kikao ni siri na hatuto toa siri hizoKenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
View attachment 3153939
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
View attachment 3153940
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri wala walicho azimia.Sana unakuta ni vikao vya kuuza nchi kwa wageni. Au vikao vya jinsi ya kukandamiza upizani.
Ndo ukweli huo mkuu hi nchi aina kitu ulicho weza kuzidi majirani.Hahaha.....mkuu unatukatisha tamaa
Hamia Kenya brother
Wajinga wa Taifa, lazima tuwajengee mnara siku moja,Hamia Kenya brother
Yes siri za kugawana nchiKikao ni siri na hatuto toa siri hizo
Tunapunguza Nyumbu wa TaifaWajinga wa Taifa, lazima tuwajengee mnara siku moja,
Kwani ndio wengu....tuwape heshima yao wanastahiliWajinga wa Taifa, lazima tuwajengee mnara siku moja,