Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

Hata sisi tuna vizuri ambavyo Kenya na mataifa mengine wanavitamani. Hatuwezi kufanana kila kitu kila mtu ashinde mechi zake
 
Ultimately ni kwamba mambo yanayodaiwa kuwa siri ni yale yasiyosomeka vizuri kwa wananchi ...
 
Lawama hii inaenda moja kwa moja kwenye mlango wa moseleum ya Mwalimu.

Vikao vya Baraza la Mawaziri ni siri na ni kiapo.


Nani kasema ? Kwa nini ni siri? Na ni siri ya nani ?

Siri ya Julius Kambarage na Mfaume Rashidi na wasaidizi wao wachache walioasisi hii mifumo.

Bahati mbaya hatujapata viongozi wadadisi, wanaohoji mambo, ma rais transformative, wa kujaribu kupindua mifumo waliyorithi, ambayo haina mantiki. Kila anaekuja anaiga aliyoyakuta..

Fikra za Mwenyekiti wa TANU zinadumu mpaka leo, masikini ya Mungu.
 
Hata sisi tuna vizuri ambavyo Kenya na mataifa mengine wanavitamani. Hatuwezi kufanana kila kitu kila mtu ashinde mechi zake
Tatizo la Tanzania hivyo vizuri havifaidishi umma. Ni kwa ajili ya kuwapa peace of mind kundi flani la raia katika nchi.
 
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
View attachment 3153939
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
View attachment 3153940

Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri wala walicho azimia.Sana unakuta ni vikao vya kuuza nchi kwa wageni. Au vikao vya jinsi ya kukandamiza upizani.
Tanzania kuna wenyenchi na wananchi
Ukiwauliza wenyenchi watasema hawawaamini jirani zao wa EA
Lakini jirani zao ndiyo hao transparents
 
Back
Top Bottom