Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Hata sisi tuna vizuri ambavyo Kenya na mataifa mengine wanavitamani. Hatuwezi kufanana kila kitu kila mtu ashinde mechi zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So, you want to say you are also a walking corpse?Walking corpse ndo Tanzania kipi tunaweza? Kenya na Uganda wana matumaini kuliko hi dead country
Tatizo la Tanzania hivyo vizuri havifaidishi umma. Ni kwa ajili ya kuwapa peace of mind kundi flani la raia katika nchi.Hata sisi tuna vizuri ambavyo Kenya na mataifa mengine wanavitamani. Hatuwezi kufanana kila kitu kila mtu ashinde mechi zake
Tanzania kuna wenyenchi na wananchiKenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
View attachment 3153939
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
View attachment 3153940
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri wala walicho azimia.Sana unakuta ni vikao vya kuuza nchi kwa wageni. Au vikao vya jinsi ya kukandamiza upizani.