QGISInsights
Member
- Apr 26, 2023
- 16
- 41
- Thread starter
- #21
Starlink connection yao ni via Satellite ambayo upatikanaji wake hata kijijini itawezekana sio mjini tu, kuhusu reviews hata wao wamesema baada ya mwaka speed itakuwa nzuri zaidi Kenya - I guess ni Technical issues, sina uhakika.Vipi supakasi voda
Vipi fiber za TTCL umetest
Vipi ISP kama Zuku umewajaribu
Starlink vilevile inamapungufu nafkiri labda ujasoma review za watu..wanalalamika kwenye kustream hasana matukio ya Live inakatakata sana
Pia TTCL Fiber uweke nyumbani kwako au kama unafanya side hustle gharama yake ni kubwa haswa kama haupo karibu na miundombinu yao simple sio rafiki.
Voda 5G na hao Zuku etc uwe mjini, hiyo voda 5G hata Moro haipo.
Ikiachwa ifanye kazi tutajiposition na naamini watatake over soko la data maeneo mengi.