Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,409
Upuuzi tu, kucheleweshana kwenye masuala ya Tehama wakati Dunia imehamia huko...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatembea nayo kama moderm mkuu ila accessibility yake hata kijijini ambako mtandao haupo inafikikaHivi mkuu kulingana na matumizi ya hiyo device naweza nikaifunga let say nyumbani huku nikitumia nikiwa njiani au kazini? Au ni mpk niwe nyumbani hapo hapo?
Sio wabinafsi tu, ni mizigo haswa..Tanzania 🇹🇿 viongozi wetu ni wabinafsi sana
Nimekupata mkuu bado ni mkombozi kama bei ni hiyo laki na 13 kama alivyosema jamaa kule mwanzoUnatembea nayo kama moderm mkuu ila accessibility yake hata kijijini ambako mtandao haupo inafikika
Ccm inapenda vilaza watu kama profesa Asad profesa Shivji hawatakiwiFourm Four Failure huyo, waziri KILAZA
Tuna matatizo mengi ndani ya nchiThe Big boss "Rosti tamu", ameinunua kampuni ya Tigo siku sio nyingi. Alafu Elon Musk anataka Nape aruhusu star link, ili boss wake Nape asipige faida nono?
Hii nchi itaendelea siku tutakayoweza kudeal na haya mapakashume ya kijani. Hayawazi maslahi ya nchi, yanawaza matumbo yao pekee!
"You know tulimuandikia Elon Musk paper kwamba yeye ndo afate masharti yetu na yeye ndo anaechelewesha huu mchakato wa starlink kuja Tanzania"[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2692209
Tanzania nchi yangu
Elon Musk haijui kichomi Tanzania, hata Nape Nauye alimwandikia tweet kujitetea kwanini Starlink haijaruhusiwa Tanzania hakumjibu.Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko?
View attachment 2692053
---
Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya, wataanza tumia huduma za star Link.
Na akionyesha ramani ya Baadhi ya nchi za Africa zinazotumia star Link .
Hii Post yake nikama anaipiga TZ 🇹🇿 dongo kuoonyesha jinsi inavyo Dili na investors wa kimataifa.
Haya SS wa TZ 🇹🇿 wanao lalamika kwamba Kenya ndio inaturudisha nyuma kiuchumi .
Nadhani wenyewe mmejionea SS ,
Tanzania 🇹🇿 viongozi wetu ni wabinafsi sana.
---
Boss wa Makampuni ya Marekani ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk (51) ambaye ni miongoni mwa Matajiri wa dunia amesema Kampuni yake ya Starlink imezindua huduma ya internet ya kasi ya juu zaidi kutoka anga za juu nchini Kenya hivyo Wakenya wanaweza kupata internert hiyo hata Vijijini ambako miundombinu ya internet haijafika.
Kwa hatua hii sasa ni rasmi Kenya inaingia kwenye orodha ya Nchi za Afrika zinazonufaika na huduma hiyo ikiungana na Rwanda, Msumbiji na Mauritius.
Kampuni hiyo imeendelea kuzindua satelaiti katika Nchi mbalimbali kama sehemu ya mradi wa Starlink ambao unalenga kutoa huduma ya internet ya kasi ya juu zaidi kutoka anga za juu hadi maeneo ya mbali Duniani na huwasaidia hadi Watu wanaoishi maeneo ya mbali ambayo hayawezi kupata internet ya kasi ya juu zaidi.
Watu wakihamia starlink pamoja na maofisi mengi hawa ISP wa makampuni ya simu watakufa na njaa. Ndio maana PENA ameamua kuwakingia kifua ili aendelee kula 10 pasenga yake 🤣!Gharama za Internet zingeshuka sana!
Hahahahahah sisi au Sisiemu?Vise versa wenzetu wanakubali vitu vya msingi sisi tunakubali vitu vya kijinga
Hio gharama yake ni kama bili ya maji tu mwisho wa mwezi unamuingizia laki yake Elon Musk unaendelea kula maisha.Tuwekeeni garama za bando pamoja na garama za hivyo vifaa
Siku za mwisho wao zinakuja uzuri wa teknolojia wataipiga majungu lakini ndio hivyo njaa watambue haipo mbali kuwafikia.Watu wakihamia starlink pamoja na maofisi mengi hawa ISP wa makampuni ya simu watakufa na njaa. Ndio maana PENA ameamua kuwakingia kifua ili aendelee kula 10 pasenga yake [emoji1787]!
Kwa gharama na wizi wanaoufanya kwenye mabando nina uhakika mtu angejaribu tu hio huduma angehama mazima. Mnaweza funga starlink moja mkashea gharama za internet na jirani zako. Nani atahangaika na kuunga bando tena.
Wewe unamdanganya mwenzako.Unatembea nayo kama moderm mkuu ila accessibility yake hata kijijini ambako mtandao haupo inafikika
Sema ukweli wako mkuu.Wewe unamdanganya mwenzako.
Mkuu umechanganya hapa, wanaposema kit sio modem ni Satellite dish + Modem, sasa nambie unaweza tembea na dish na modem na uwe na source ya Umeme vyote mfukoni.....!!Sema ukweli wako mkuu.
Mkuu sikumaanisha ni Plug and Play kama moderm - nilijibu kwamba unaweza ukashift nayo kutoka eneo moja kwenda lingine so hata kijijin huko. Vifaa ni hivi kwa mimi naona ni portable.Mkuu umechanganya hapa, wanaposema kit sio modem ni Satellite dish + Modem, sasa nambie unaweza tembea na dish na modem na uwe na source ya Umeme vyote mfukoni.....!!
Elewa hilo neno, set it up to your new address.
Bibi yake mimi leo umenenaWacha wachelewe tutaingiza hizohizo za Kenya, si zina global roaming.
Watanzania na maendeleo ni vitu tofauti.
cc: MwanaDiwani