Internet ni elimu , watu wote wakielimika unafikiri nini kitafuata ? Maanake watu wataamka kutoka usingizini
 
Tuna matatizo mengi ndani ya nchi
Lakini CCM ni tatizo kubwa zaidi
CCM ni chanzo cha wizi, ufisadi, rushwa, mikataba mibovu inayoligharimu taifa
CCM ni mdhamini mkuu wa ujinga, maradhi na umaskini.
 
Hii nchi ina vichekesho mno, bandari mwekezaji kaja na masharti yake kabisa. Internet ya Elon Musk yeye ameshindwa vigezo? 🤣
"You know tulimuandikia Elon Musk paper kwamba yeye ndo afate masharti yetu na yeye ndo anaechelewesha huu mchakato wa starlink kuja Tanzania"[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2692209


Tanzania nchi yangu
 
Elon Musk haijui kichomi Tanzania, hata Nape Nauye alimwandikia tweet kujitetea kwanini Starlink haijaruhusiwa Tanzania hakumjibu.
 
Gharama za Internet zingeshuka sana!
Watu wakihamia starlink pamoja na maofisi mengi hawa ISP wa makampuni ya simu watakufa na njaa. Ndio maana PENA ameamua kuwakingia kifua ili aendelee kula 10 pasenga yake 🤣!

Kwa gharama na wizi wanaoufanya kwenye mabando nina uhakika mtu angejaribu tu hio huduma angehama mazima. Mnaweza funga starlink moja mkashea gharama za internet na jirani zako. Nani atahangaika na kuunga bando tena.
 
Viongozi wetu hawapendi maendeleo, ndio maana hwta hili suala la DP world napata mashaka, toka lini viongozi hawa wakata maendeleo ya watz?

Nahisi wanaogopa starlink, watazimaje mtandao😂🤣
 
Siku za mwisho wao zinakuja uzuri wa teknolojia wataipiga majungu lakini ndio hivyo njaa watambue haipo mbali kuwafikia.
Isp wazee wa 10%, Rostam mmiliki wa Voda na Tigo bado Ttcl ya serikali wote matumbo joto zaidi sana ni kwamba hawatakuwa na maamuzi ya kuizima data wakati wa chaguzi hiko ndio kinawapa homa,nchi hii kitu kikifika au kuruhusiwa basi jua chama husika tawala hakitapata shida katika hilo jambo lazima wawe na maslahi nalo, wakati huu Smile kazuiwa kuongezewa leseni ya kutoa huduma na watu wameshakuwa jobless, Smart na Hallotel wananyemelewa wapigwe knock-out ili kumpa uhai zaidi Ttcl kwenye data ghafla Starlink anajitokeza lazima wapagawe [emoji23][emoji23]

Sasa Starlink itamtingisha Rostam ambaye ni mmoja ya wafadhili wa chama unadhani what will happen si hata changia tena mzigo mnene kama mwanzo!

Mfano mmoja ya wamiliki Ticts alikuwa ni mfadhili wa chama sasa wamemtoa wanampa Dp world si inamaana ata withdrawal kuchangia chama au uenda hakuchangia chama wakaona bora wamtimue tu hana maslahi nao [emoji23]
 
Sema ukweli wako mkuu.
Mkuu umechanganya hapa, wanaposema kit sio modem ni Satellite dish + Modem, sasa nambie unaweza tembea na dish na modem na uwe na source ya Umeme vyote mfukoni.....!!
Elewa hilo neno, set it up to your new address.
 
Mkuu umechanganya hapa, wanaposema kit sio modem ni Satellite dish + Modem, sasa nambie unaweza tembea na dish na modem na uwe na source ya Umeme vyote mfukoni.....!!
Elewa hilo neno, set it up to your new address.
Mkuu sikumaanisha ni Plug and Play kama moderm - nilijibu kwamba unaweza ukashift nayo kutoka eneo moja kwenda lingine so hata kijijin huko. Vifaa ni hivi kwa mimi naona ni portable.
 

Attachments

  • 1.PNG
    13.6 KB · Views: 9
  • 3.PNG
    106.1 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…