"You know tulimuandikia Elon Musk paper kwamba yeye ndo afate masharti yetu na yeye ndo anaechelewesha huu mchakato wa starlink kuja Tanzania"[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2692209


Tanzania nchi yangu
Nape nauye ambae nadhani hata millioni 300 Hana kwenye akaunt yake eti anamwambia Elon musk tajiri namba moja duniani fata masharti yangu hahahah daaah kweli tunaongozwa na akili matope haya ndio majitu yanatomtia aibu mama
 
Nape nauye ambae nadhani hata millioni 300 Hana kwenye akaunt yake eti anamwambia Elon musk tajiri namba moja duniani fata masharti yangu hahahah daaah kweli tunaongozwa na akili matope haya ndio majitu yanatomtia aibu mama
Mhe Rais mwenyewe elimu yake ya kuunga unga, unatarajia nini?
 
Boss wa Makampuni ya Marekani ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk (51) ambaye ni miongoni mwa Matajiri wa dunia amesema Kampuni yake ya Starlink imezindua huduma ya internet ya kasi ya juu zaidi kutoka anga za juu nchini Kenya hivyo Wakenya wanaweza kupata internert hiyo hata Vijijini ambako miundombinu ya internet haijafika.

Kwa hatua hii sasa ni rasmi Kenya inaingia kwenye orodha ya Nchi za Afrika zinazonufaika na huduma hiyo ikiungana na Rwanda, Msumbiji na Mauritius.

Kampuni hiyo imeendelea kuzindua satelaiti katika Nchi mbalimbali kama sehemu ya mradi wa Starlink ambao unalenga kutoa huduma ya internet ya kasi ya juu zaidi kutoka anga za juu hadi maeneo ya mbali Duniani na huwasaidia hadi Watu wanaoishi maeneo ya mbali ambayo hayawezi kupata internet ya kasi ya juu zaidi.

 
Sasa kipindi cha uchaguzi watafungiaje mitandao wakiruhusu huyo musk akiingia? Itakula kwao ndio mana hawamtaki kwa sasa.poor country!!!
 
nape ameiona hii? hapo kaitangaza nchi ya kenya na katangaza na utalii. wazungu wengi sasa wataenda kenya badala ya Tanzania. na hapa bado tunapigwa bando. kwa wiki moja gharama ya kweli ni 10,000 kwa mwezi tunalipa 40,000 kwa bando la kawaida tu hili la whatsapp na jamii forums. Nape kakaza shingo hata haelewi, hawa telecom wa Tanzania wanatunyonya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ