MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Serikali ya Kenya kuanza mikakati ya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha ili iwe inahudumia Wakenya wanaofanya shughuli zao mikoani. Hivyo kule Tanzania tutakua na ofisi mbili za ubalozi, ya Dar na Arusha.
Hapa natoa hongera kwa serikali kwa kuwaza hili, tatizo kule Tanzania sijui walifikiria nini kuwekeza kila kitu Dar ambayo yenyewe iko mbali kule Pwani, yaani hata Watanzania wenyewe wa kutokea mikoani huteseka sana wakifuata huduma huko, kunao husafiri hata siku mbili haswa wa kutokea Kagera na Kigoma.
Yaani wiki inaisha kwenye safari ya kufuata stakabadhi fulani, ndio leo wanashtukuta na kuhangaika kuhamisha shughuli hadi Dodoma.
------------------------------
Kenyans residing in Arusha, Manyara and Kilimanjaro regions have all reasons to smile following the country’s decision to open a consulate in Arusha.
The new plans were revealed on Thursday, June 06, 2019, by the Kenyan ambassador to Tanzania, Dan Kazungu when addressing to Kenyans during the process of registering Kenyan Citizens in Arusha.
www.thecitizen.co.tz

Kenya to open a consulate in Arusha