Kenya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha, Tanzania

Kenya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha, Tanzania

Ukizungumza na watu wenye akili kubwa, lazima uzungumze kwa kutumia ushahidi, huko kwenu ndio mumezoea kuzungumza bila ushahidi na watu wanakuamini kwasababu ni kabila moja, huku hatujui kitu kinachoitwa ukabila. By the way, hii link hainyeshi, Tafadhali nipatie link ingine.
Do I care?
 
Serikali ya Kenya kuanza mikakati ya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha ili iwe inahudumia Wakenya wanaofanya shughuli zao mikoani. Hivyo kule Tanzania tutakua na ofisi mbili za ubalozi, ya Dar na Arusha.

Hapa natoa hongera kwa serikali kwa kuwaza hili, tatizo kule Tanzania sijui walifikiria nini kuwekeza kila kitu Dar ambayo yenyewe iko mbali kule Pwani, yaani hata Watanzania wenyewe wa kutokea mikoani huteseka sana wakifuata huduma huko, kunao husafiri hata siku mbili haswa wa kutokea Kagera na Kigoma.
Yaani wiki inaisha kwenye safari ya kufuata stakabadhi fulani, ndio leo wanashtukuta na kuhangaika kuhamisha shughuli hadi Dodoma.
------------------------------

Kenyans residing in Arusha, Manyara and Kilimanjaro regions have all reasons to smile following the country’s decision to open a consulate in Arusha.
The new plans were revealed on Thursday, June 06, 2019, by the Kenyan ambassador to Tanzania, Dan Kazungu when addressing to Kenyans during the process of registering Kenyan Citizens in Arusha.
Mnashida Sana. Kama ndio hivyo, na Kigoma nako mweke ubalozi huko. Kwa ajili ya Congo. Na Mbea, kwa ajili ya Zambia na Malawi
 
Wawepo na vidada virembo + customer care nzr

Ova
 
hapana mzee mbona mambo ya kawaida haya! consulate huwa zinakuwepo pale kwenye other cities outside capitals kurahisisha Biashara haswa kama nchi ikiwa kubwa! Haiathiri uwepo wa High commission! Hata Waganda/Warwanda/Wakongo wakitaka waweke consulate Mwanza au Kigoma au Bukoba, mi naona ni sawa ili kurahisisha biashara na shughuli za kiofisi na kuondoa usumbufu! Imagine mtu ana biashara Arusha au hata Nairobi why aende kupatia visa Nairobi au Dar! Kumbuka Arusha pia ina EAC na ina Wakenya wengi na pia Watanzania wengi wanabidi kuenda all the way to Nairobi kwa mambo ambayo yangeweza fanywa na consulate in Arusha!
Congo tayari wana consulate kigoma
 
Some decades back wa'Congo walikuwa na consulate Kigoma,sina uhakika kama bado ipo.
hapana mzee mbona mambo ya kawaida haya! consulate huwa zinakuwepo pale kwenye other cities outside capitals kurahisisha Biashara haswa kama nchi ikiwa kubwa! Haiathiri uwepo wa High commission! Hata Waganda/Warwanda/Wakongo wakitaka waweke consulate Mwanza au Kigoma au Bukoba, mi naona ni sawa ili kurahisisha biashara na shughuli za kiofisi na kuondoa usumbufu! Imagine mtu ana biashara Arusha au hata Nairobi why aende kupatia visa Nairobi au Dar! Kumbuka Arusha pia ina EAC na ina Wakenya wengi na pia Watanzania wengi wanabidi kuenda all the way to Nairobi kwa mambo ambayo yangeweza fanywa na consulate in Arusha!
 
Ofisi zote za Ubarozi ni Dodoma. Arusha mnaenda kufuata nini?

"Mr exposed" katika ubora wako. Sijui watu kama nyie mtakuja lini kujua kuwa economy ndio ina-rule everything na kuwa kumrahisishia mfanyabiashara kwenye operations zake ndio kujenga uchumi wa nchi husika. Wenzetu wanajua kuowa raia wao wanafanya biashara sana Arusha na Moshi ndio maana wanafungua ofisi nyingine ya ubalozi hapa; lakini wewe mwenye exposure unawaelekeza waende Dodoma! 😂
 
Mi nafikiri hiyo permit ya kuweka Ubarozi ARUSHA isitolewe, maana kila mmoja ataanza kuweka Ubarozi karibu na nchi yake. Mf. Uganda wataweka Kagera, Malawi na Zambia wataweka Mbeya, Msumbiji wataweka Mtwara na Congo wataweka Kigoma. Sasa itakuwa vurugu, maana lengo la ubarozi si kutoa huduma kwa wananchi wa nchi husika, bali ni kuwakilisha nchi husika na kujenga mahusiano MAZURI na kuimarisha biashara na uchumi.
Juzi juzi nimetoka Washington nilifikia hoteli ambayo iko karibu na Ubarozi lkn wala sikwenda.
Kufungua balozi ndogo inaruhusiwa ..mbona Burundi wana ofisi Kigoma pia ...halafu sio ubarozi ni ubalozi
 
Mi nafikiri hiyo permit ya kuweka Ubarozi ARUSHA isitolewe, maana kila mmoja ataanza kuweka Ubarozi karibu na nchi yake. Mf. Uganda wataweka Kagera, Malawi na Zambia wataweka Mbeya, Msumbiji wataweka Mtwara na Congo wataweka Kigoma. Sasa itakuwa vurugu, maana lengo la ubarozi si kutoa huduma kwa wananchi wa nchi husika, bali ni kuwakilisha nchi husika na kujenga mahusiano MAZURI na kuimarisha biashara na uchumi.
Juzi juzi nimetoka Washington nilifikia hoteli ambayo iko karibu na Ubarozi lkn wala sikwenda.
Usilolijua ni kama usiku wa kiza,Arusha kuna ofisi ndogo za ubalozi za mataifa mbali mbali hivyo hata la Nchi ya Kenya sio jipya.
 
Arusha watamuhudumia au kukutana na nani? Duniani kote barozi zinakuwa makao makuu ya kiutawala ya NCHI, kwa sababu lengo ni KUWA karibu na watawala wa nchi husika.
Hiyo wanayotaka kuanzisha Arusha labda waiite jina lingine kama gulio au soko la wakenya.
Wao wanajua watakayemhudumia nani
 
Ahaaa haaa haaa
Lengo la barozi siyo kutumikia watu wa NCHI YAKO. Ila watu wanaotaka kwenda nchini kwako. Ila kwa sababu is just a consulate, let it be.

Soma kichwa cha habari
Barozi[emoji735]
Balozi[emoji818]
 
Kichwa cha uzi huu kilifaa kiwe...
"KENYA YAFUNGUA UBALOZI MDOGO JIJI ARUSHA"
 
Kichwa cha uzi huu kilifaa kiwe...
"KENYA YAFUNGUA UBALOZI MDOGO JIJI ARUSHA"
Na huku wanasema Watanzania waondoke Kenya . Tuani nini sasa. Wanasiasa Wakenya waangalie ulimi wao pls. Tukumbuke CharlesNjonjo na wezake walivyo tunja EAT 1977/8
 
Na huku wanasema Watanzania waondoke Kenya . Tuani nini sasa. Wanasiasa Wakenya waangalie ulimi wao pls. Tukumbuke CharlesNjonjo na wezake walivyo tunja EAT 1977/8

shida ya kenya ni mtu yeyote anaweza fanya lolote bila kuguswa na mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom