Kenya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha, Tanzania

Kenya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha, Tanzania

Mleta mada ungeanza kwa kuwafafanulia hawa vibwengo maana kamili ya 'consulate'. Wakiendelea kutupia comment zao hizi za ajabu ajabu baadaye kuwaelimisha itakuwa kazi bure kama ya kupuliza gunia.

Kuna mmoja amesababisha nicheke, kingereza mtihani kweli, eti anafikiria ni ubalozi wa Kenya unahamia Arusha akahoji mbona isiwe Dodoma.
 
Let them do it. Hata Congo DRC ina ubalozi mdogo Kigoma ili kuhudumia watu wake huko ambapo ni mbali na Dar... Tz is quite a big country...

Ahaaa haaa haaa
Lengo la barozi siyo kutumikia watu wa NCHI YAKO. Ila watu wanaotaka kwenda nchini kwako. Ila kwa sababu is just a consulate, let it be.
Mleta mada ungeanza kwa kuwafafanulia hawa vibwengo maana kamili ya 'consulate'. Wakiendelea kutupia comment zao hizi za ajabu ajabu baadaye kuwaelimisha itakuwa kazi bure kama ya kupuliza gunia.

Soma kichwa cha habari
 
Ingekuwa ni Nchi ya Ulaya imefungua Consulate pale Arusha ungewaona kina eliakeem wameanzisha nyuzi kadhaa kusifia kitendo hicho. Kwa Sasa juu ni Kenya kafungua moja kule, wanamwaga povu.
Nchi kibao za ulaya zina consulate Arusha pia, you are not the first.

20190606_222129png.png

Ni vizuri tukaribishe na alshababu kutupasua vizuri maana wanawawinda sana wakenya na vitega uchumi vyao
 
Mleta mada ungeanza kwa kuwafafanulia hawa vibwengo maana kamili ya 'consulate'. Wakiendelea kutupia comment zao hizi za ajabu ajabu baadaye kuwaelimisha itakuwa kazi bure kama ya kupuliza gunia.
Wakenya aiseee! Kwakutuona hatujui kizungu hamjambo siku hizi kuna Google translator hatuna shida wajameni 😌😌
 
hapana mzee mbona mambo ya kawaida haya! consulate huwa zinakuwepo pale kwenye other cities outside capitals kurahisisha Biashara haswa kama nchi ikiwa kubwa! Haiathiri uwepo wa High commission! Hata Waganda/Warwanda/Wakongo wakitaka waweke consulate Mwanza au Kigoma au Bukoba, mi naona ni sawa ili kurahisisha biashara na shughuli za kiofisi na kuondoa usumbufu! Imagine mtu ana biashara Arusha au hata Nairobi why aende kupatia visa Nairobi au Dar! Kumbuka Arusha pia ina EAC na ina Wakenya wengi na pia Watanzania wengi wanabidi kuenda all the way to Nairobi kwa mambo ambayo yangeweza fanywa na consulate in Arusha!
Kwa mara ya kwanza umefikiria vizuri kama wazee kumi wa morogoro.. pewa Konyagi tatu nitalipia
 
Serikali ya Kenya kuanza mikakati ya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha ili iwe inahudumia Wakenya wanaofanya shughuli zao mikoani. Hivyo kule Tanzania tutakua na ofisi mbili za ubalozi, ya Dar na Arusha.

Hapa natoa hongera kwa serikali kwa kuwaza hili, tatizo kule Tanzania sijui walifikiria nini kuwekeza kila kitu Dar ambayo yenyewe iko mbali kule Pwani, yaani hata Watanzania wenyewe wa kutokea mikoani huteseka sana wakifuata huduma huko, kunao husafiri hata siku mbili haswa wa kutokea Kagera na Kigoma.
Yaani wiki inaisha kwenye safari ya kufuata stakabadhi fulani, ndio leo wanashtukuta na kuhangaika kuhamisha shughuli hadi Dodoma.
------------------------------

Kenyans residing in Arusha, Manyara and Kilimanjaro regions have all reasons to smile following the country’s decision to open a consulate in Arusha.
The new plans were revealed on Thursday, June 06, 2019, by the Kenyan ambassador to Tanzania, Dan Kazungu when addressing to Kenyans during the process of registering Kenyan Citizens in Arusha.

Mjomba unaijua saana tz,mpaka kagera.hongera saana!
 
Magufuli usije kuruhusu huo ujinga wa Kenya kutumiwa na wezi wa madini yetu hadi wamekosa madini na kuwauzia wateja wao madini feki hiyo barozi itatumika kama njia ya kupitishia upya madini yetu magu stopisha hao kenge haraka sana
 
Yeah keep spending more money on consulate premises, staff housings and other expenditures in Dar, Dodoma and now Arusha, that's why you are broke and failed [emoji16][emoji16][emoji16]
Wametumwa lengo ni kuiba madini hasa tanzanite tuwe makini sana tusikubali upuuzi huo
 
Ofisi zote za Ubarozi ni Dodoma. Arusha mnaenda kufuata nini?
Kwa mujibu wa sheria za kibarozi hapo lengo la Kenya ni kufanikisha mtandao wao wa wizi wa madini Kwa kupitia sheria za kibarozi
 
Back
Top Bottom