Kenya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha, Tanzania

Mleta mada ungeanza kwa kuwafafanulia hawa vibwengo maana kamili ya 'consulate'. Wakiendelea kutupia comment zao hizi za ajabu ajabu baadaye kuwaelimisha itakuwa kazi bure kama ya kupuliza gunia.

Kuna mmoja amesababisha nicheke, kingereza mtihani kweli, eti anafikiria ni ubalozi wa Kenya unahamia Arusha akahoji mbona isiwe Dodoma.
 
Let them do it. Hata Congo DRC ina ubalozi mdogo Kigoma ili kuhudumia watu wake huko ambapo ni mbali na Dar... Tz is quite a big country...

Ahaaa haaa haaa
Lengo la barozi siyo kutumikia watu wa NCHI YAKO. Ila watu wanaotaka kwenda nchini kwako. Ila kwa sababu is just a consulate, let it be.
Mleta mada ungeanza kwa kuwafafanulia hawa vibwengo maana kamili ya 'consulate'. Wakiendelea kutupia comment zao hizi za ajabu ajabu baadaye kuwaelimisha itakuwa kazi bure kama ya kupuliza gunia.

Soma kichwa cha habari
 
Ingekuwa ni Nchi ya Ulaya imefungua Consulate pale Arusha ungewaona kina eliakeem wameanzisha nyuzi kadhaa kusifia kitendo hicho. Kwa Sasa juu ni Kenya kafungua moja kule, wanamwaga povu.
Nchi kibao za ulaya zina consulate Arusha pia, you are not the first.

Ni vizuri tukaribishe na alshababu kutupasua vizuri maana wanawawinda sana wakenya na vitega uchumi vyao
 
Mleta mada ungeanza kwa kuwafafanulia hawa vibwengo maana kamili ya 'consulate'. Wakiendelea kutupia comment zao hizi za ajabu ajabu baadaye kuwaelimisha itakuwa kazi bure kama ya kupuliza gunia.
Wakenya aiseee! Kwakutuona hatujui kizungu hamjambo siku hizi kuna Google translator hatuna shida wajameni 😌😌
 
Kwa mara ya kwanza umefikiria vizuri kama wazee kumi wa morogoro.. pewa Konyagi tatu nitalipia
 
Mjomba unaijua saana tz,mpaka kagera.hongera saana!
 
Magufuli usije kuruhusu huo ujinga wa Kenya kutumiwa na wezi wa madini yetu hadi wamekosa madini na kuwauzia wateja wao madini feki hiyo barozi itatumika kama njia ya kupitishia upya madini yetu magu stopisha hao kenge haraka sana
 
Yeah keep spending more money on consulate premises, staff housings and other expenditures in Dar, Dodoma and now Arusha, that's why you are broke and failed [emoji16][emoji16][emoji16]
Wametumwa lengo ni kuiba madini hasa tanzanite tuwe makini sana tusikubali upuuzi huo
 
Ofisi zote za Ubarozi ni Dodoma. Arusha mnaenda kufuata nini?
Kwa mujibu wa sheria za kibarozi hapo lengo la Kenya ni kufanikisha mtandao wao wa wizi wa madini Kwa kupitia sheria za kibarozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…