Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wacheni kuwa suspicious namna hiyo Arusha is the New York of Tanzania! Needs consulates for her broader significance in the region and across the continent!Wametumwa lengo ni kuiba madini hasa tanzanite tuwe makini sana tusikubali upuuzi huo
Wewe kwanza hata usiongee na mimi. Kila ninapokuuliza maoni yako kuhusu mambo positive ya Kenya, kwa mfaano Lamu port, unalenga, unanyamaza. Hiyo ina maana kuwa wewe huwezi pongeza Kenya wakati imefaulu katika jambo fulani bali unacomment tu wakati Kenya imekosea mahali fulani. Uko subjective, learn to be objective.Hivi mtu akienda USA anakua mzito?. "Africa not yet Uhuru "
Sikuwahi fikiria itafika siku mimi nilike comment yako, lakini leo ndio hio siku. Asante kwa comment nzuri.hapana mzee mbona mambo ya kawaida haya! consulate huwa zinakuwepo pale kwenye other cities outside capitals kurahisisha Biashara haswa kama nchi ikiwa kubwa! Haiathiri uwepo wa High commission! Hata Waganda/Warwanda/Wakongo wakitaka waweke consulate Mwanza au Kigoma au Bukoba, mi naona ni sawa ili kurahisisha biashara na shughuli za kiofisi na kuondoa usumbufu! Imagine mtu ana biashara Arusha au hata Nairobi why aende kupatia visa Nairobi au Dar! Kumbuka Arusha pia ina EAC na ina Wakenya wengi na pia Watanzania wengi wanabidi kuenda all the way to Nairobi kwa mambo ambayo yangeweza fanywa na consulate in Arusha!
La hasha, Washington ni class nyingine kabisa. Sio mtu yeyote tu anayeweza kupata visa ya Marekani.Washington ata mbu akijibanza kwenye emirates anafika bila wasi wowote.
Mbona msifungue consulate Ethiopia? Si mnajisifu na Ethiopia kila siku huku mki-dis Tanzania!?Sikuwahi fikiria itafika siku mimi nilike comment yako, lakini leo ndio hio siku. Asante kwa comment nzuri.
Tony254, nilishakujibu yote mwaka Jana kabla hata SGR kipande cha Mombasa Nairobi kumalizika, labda unataka nijibu vile unavyotaka wewe sio vile ninavyoona mimi, ngoja nikukumbushe nilivyokujibu.Wewe kwanza hata usiongee na mimi. Kila ninapokuuliza maoni yako kuhusu mambo positive ya Kenya, kwa mfaano Lamu port, unalenga, unanyamaza. Hiyo ina maana kuwa wewe huwezi pongeza Kenya wakati imefaulu katika jambo fulani bali unacomment tu wakati Kenya imekosea mahali fulani. Uko subjective, learn to be objective.
La hasha, Washington ni class nyingine kabisa. Sio mtu yeyote tu anayeweza kupata visa ya Marekani.
Sasa Midanganyika ifungue consulate Homabay
asanteWatalii huwindwa toka Home countries!
Naona bado mnawaogopa Al shabab. Sisi hupasua vichwa vyao na kuwatuma akhera waende wafanye wanayofanya na bikira zaoNi vizuri tukaribishe na alshababu kutupasua vizuri maana wanawawinda sana wakenya na vitega uchumi vyao
Arusha ni Geneva of Africa, Geza UloleWacheni kuwa suspicious namna hiyo Arusha is the New York of Tanzania! Needs consulates for her broader significance in the region and across the continent!
Wakenya msisahau na Mwanza rock cityTz imeendelea kotekote mzee, ndio maana mnafungua consulates Hadi Arusha na soon mtafungua Dodoma,
Unadhani kuna barozi ya nchi itafungua Consulate Kisumu?? Who goes to Kisumu by the way
Ethiopia haiko stable sana politically to be honest. Tunawapa muda kwanza. Na pia uhusiano wetu na Ethiopians sio wa karibu kama ule wa Kenya na Tanzania. Sisi tumekuwa mandugu kuanzia 1963 wakati Kenya ilipata uhuru. Kwa hivyo hata kama tunapigana na kuleteana mikwara lakini hio ni kawaida kwa kila familia,Mbona msifungue consulate Ethiopia? Si mnajisifu na Ethiopia kila siku huku mki-dis Tanzania!?
Wanasumbua sana. Kuanzia wiki iliyopita, embassy yao ya Nairobi wameanza kuitisha facebook page yako ili waone unachoposti humo ndani. Kupata visa imekuwa kama sarakasi.Ahaaa haaa haaa
Bwana mdogo umenichekesha kweli, kwa HIYO sisi WENYE akili KUBWA wachache tu ndiyo tunaendaga DeeCee.
Ila nakumbuka the first time naenda walinisumbua SANA kupata visa. Utafikiri unaenda peponi.
Teh teh teh tihiii.
Sawa kama hayo ni maoni yako basi hamna shida nakuelewa.Tony254, nilishakujibu yote mwaka Jana kabla hata SGR kipande cha Mombasa Nairobi kumalizika, labda unataka nijibu vile unavyotaka wewe sio vile ninavyoona mimi, ngoja nikukumbushe nilivyokujibu.
Nilisema hivi, katika miradi mikubwa iliyokuwa ikifanyika Kenya, mradi ambao ni muhimu na wenye tija kwa Kenya ni Galana Kulalu na barabara hasa za mashinani. Katika Miradi isiyo na tija kabisaa ni Lamu port/ Bagamoyo port, kwasababu hizi nchi tayari zinazo bandari zinazofanya kazi vizuri sana, hasa Kenya, ilipaswa kuimarisha bandari ya Mombasa, inauwezo wa kukidhi mahitaji ya Kenya for the next 50 years.
Kuhusu SGR ya Kenya sina sababu ya kurudia, kwasasa David Ndii alishamaliza kila kitu, na ukweli unaanza kujitojeza. Kwa kifupi huwa ninashindwa kuwaelewa viongozi wenu kwa jinsi wanavyochukua maamuzi ya kuanzisha miradi ya nchi, sijua hata huwa wabafikiria nini.
Kumbuka ni hawa hawa viongozi wenu walioamua kujenga Greenfield terminal na kuwashawishi wakenya kwamba ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya, wakafikia hatua ya ufunguzi ambapo viongozi na mabalozi wa nchibalimbali walihudhuria, Uhuru Kenyatta akatoa hotuba nzuri sana kuonyesha umuhimu wa huo uwanja kwa nchi na Africa kwa ujumla, three monthly later, rais huyo huyo akasema huo uwanja sio muhimu tena. Hiyo ndio Kenya ninayoijua Mimi.
Boss, unaongea kuhusu vitu ambavyo unavielewa au unakurupuka tu bila formular? Kuna consulate ya U.S. Busia road, Kisumu ya India pia ipo.Tz imeendelea kotekote mzee, ndio maana mnafungua consulates Hadi Arusha na soon mtafungua Dodoma,
Unadhani kuna barozi ya nchi itafungua Consulate Kisumu?? Who goes to Kisumu by the way
Boss, unaongea kuhusu vitu ambavyo unavielewa au unakurupuka tu bila formular? Kuna consulate ya U.S. Busia road, Kisumu ya India pia ipo.
Hujai tumia akili hata siku moja wewehttp://www.google.com/url?q=https://yellowpageskenya.com/?Searc...FjAFegQIBxAB&usg=AOvVaw0Qrs9avaZeyXISEvvsy0ZzTunaomba ushahidi kwa hili unalosema,. Hii hapa orodha tha Embassies na Consolate zote zilizopo Kenya, Kisumu haipo.Kenya - Embassies & Consulates
Embassies, high commissions and consulates of Kenya. Foreign embassies, high commissions and consulates in Kenya. Addresses, telephone numbers, email addresses, websites, opening hours, staffwww.embassypages.com
Quoted! 😂Ethiopia haiko stable sana politically to be honest. Tunawapa muda kwanza. Na pia uhusiano wetu na Ethiopians sio wa karibu kama ule wa Kenya na Tanzania. Sisi tumekuwa mandugu kuanzia 1963 wakati Kenya ilipata uhuru. Kwa hivyo hata kama tunapigana na kuleteana mikwara lakini hio ni kawaida kwa kila familia,