Kenya kufungua ofisi mpya ya ubalozi Arusha, Tanzania

Do I care?
 
Mnashida Sana. Kama ndio hivyo, na Kigoma nako mweke ubalozi huko. Kwa ajili ya Congo. Na Mbea, kwa ajili ya Zambia na Malawi
 
Wawepo na vidada virembo + customer care nzr

Ova
 
Congo tayari wana consulate kigoma
 
Some decades back wa'Congo walikuwa na consulate Kigoma,sina uhakika kama bado ipo.
 
Ofisi zote za Ubarozi ni Dodoma. Arusha mnaenda kufuata nini?

"Mr exposed" katika ubora wako. Sijui watu kama nyie mtakuja lini kujua kuwa economy ndio ina-rule everything na kuwa kumrahisishia mfanyabiashara kwenye operations zake ndio kujenga uchumi wa nchi husika. Wenzetu wanajua kuowa raia wao wanafanya biashara sana Arusha na Moshi ndio maana wanafungua ofisi nyingine ya ubalozi hapa; lakini wewe mwenye exposure unawaelekeza waende Dodoma! 😂
 
Kufungua balozi ndogo inaruhusiwa ..mbona Burundi wana ofisi Kigoma pia ...halafu sio ubarozi ni ubalozi
 
Usilolijua ni kama usiku wa kiza,Arusha kuna ofisi ndogo za ubalozi za mataifa mbali mbali hivyo hata la Nchi ya Kenya sio jipya.
 
Wao wanajua watakayemhudumia nani
 
Ahaaa haaa haaa
Lengo la barozi siyo kutumikia watu wa NCHI YAKO. Ila watu wanaotaka kwenda nchini kwako. Ila kwa sababu is just a consulate, let it be.


Soma kichwa cha habari
Barozi[emoji735]
Balozi[emoji818]
 
Kichwa cha uzi huu kilifaa kiwe...
"KENYA YAFUNGUA UBALOZI MDOGO JIJI ARUSHA"
 
Kichwa cha uzi huu kilifaa kiwe...
"KENYA YAFUNGUA UBALOZI MDOGO JIJI ARUSHA"
Na huku wanasema Watanzania waondoke Kenya . Tuani nini sasa. Wanasiasa Wakenya waangalie ulimi wao pls. Tukumbuke CharlesNjonjo na wezake walivyo tunja EAT 1977/8
 
Na huku wanasema Watanzania waondoke Kenya . Tuani nini sasa. Wanasiasa Wakenya waangalie ulimi wao pls. Tukumbuke CharlesNjonjo na wezake walivyo tunja EAT 1977/8

shida ya kenya ni mtu yeyote anaweza fanya lolote bila kuguswa na mtu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…