Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
Hauwezi compare UAE na Kenya hizi ni nchi mbili tofauti sana hauwezi kabisa UAE ni mataniri sana kutuliko ndio maana wanaweza kuwa na haya miradi ya kuimarisha wananchi wao wasikose chakula.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi compare UAE na Kenya hizi ni nchi mbili tofauti sana hauwezi kabisa UAE ni mataniri sana kutuliko ndio maana wanaweza kuwa na haya miradi ya kuimarisha wananchi wao wasikose chakula.
Bora yetu kuliko nchi yenye rotuba ,madini tele,ufuo wa bahari mkubwa na raslimali nyingi za kipekee inayokumbwa na umaskini na mandeleo ya chini yaani LDC.Nchi yenye uchumi mkubwa Africa mashariki wanakumbwa na njaa?
Hopeless.
Eish ,afadhali tungepewa Zambia as southern neighbors kuliko roho chafu na wahuni wachawi kama nyie mnaofurahia vifo vya binadamu mwenzako.Wakenya ni wazembe sana. Nchi inawezaje import machinery,computer na magari tena iongeze hata chakula hapo?? Hata hiyo chai na maua inalimwa na wakenya wa asilia ya waingereza..Mikenya miafrika ni mizembe mno
Kenya mna export nini?Tanzania huwa mnaexport nini ya maana isipokuwa minerals? Halafu tukiwaita lazy mnalia.
Biggest exporter of tea , flowers and avocadosKenya mna export nini?
Hahahaha, you never export avocados than we do.Biggest exporter of tea , flowers and avocados
Umesahau products za Azam na Modewji zimejazana sauzi..hehe bakresa ndie anawapa mchele sauzi yoteHahahaha, you never export athan we do.
Tanzania Exports
1)Cashew nuts
2)Tobacco
3)Cotton
4)Coffee
5)Beans
6)Maize
Baba lao kabisa
Gold
Wakenya wanacheza na Tanzania hawa. Balance of Trade kati ya Tanzania na South Africa is in favor kwa Tanzania, tunawauzia zaidi South Africa kuliko tunavyonunua, hivyohivyo katika nchi zote za SADC. Ukienda Zambia, Msumbiji na Malawi, shelf zimejaa products za AZAM na MO tu.Umesahau products za Azam na Modewji zimejazana sauzi..hehe bakresa ndie anawapa mchele sauzi yote
Still, you can't deny the fact that Kenya exports more than you.Hahahaha, you never export avocados than we do.
Tanzania Exports
1)Cashew nuts
2)Tobacco
3)Cotton
4)Coffee
5)Beans
6)Maize
Baba lao kabisa
Gold
Give statistics please. Kenya and Tanzania almost Exports the same values of goods, but Kenya imports much more than Tanzania.Still, you can't deny the fact that Kenya exports more than you.
Hii tabia yenu ya kutoa sababu za kijinga pale mnapofanya vibaya ili kuhalalisha " failures" zenu ndio adui mkubwa sana wa maendeleo yenu, lazima muwe honest kwenu wenyewe ili muambiane ukweli.
Tatizo la Kenya sio ardhi ya kuzalisha chakula, tatizo ni Sera zenu za uchumi, ambapo ardhi yenu hiyo nzuri sehemu kubwa ipo mikononi mwa matajiri, ambao hawaoni faida ya kulima mahindi, mbona mnaongoza duniani kwa kilimo cha chai, vipi mshindwe kuzalisha chakula japo cha kujilisha wenyewe?.
Pili ni tatizo la rushwa na uzembe ktk serikali yenu, kila mradi unapoanzishwa haufanikiwi kwa sababu ya rushwa na uzembe, endapo miradi ya Galana kulalu na zile " dams" zingekamilika, shida ya njaa ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.
Badala ya kuambia huu ukweli, ninyi mumekazania ukame na jangwa kuwa ndio tatizo kubwa, ili kujiliwaza msionekane wazembe.
Wakenya ni wazembe sana. Nchi inawezaje import machinery,computer na magari tena iongeze hata chakula hapo?? Hata hiyo chai na maua inalimwa na wakenya wa asilia ya waingereza..Mikenya miafrika ni mizembe mno
Hahahaha, you never export avocados than we do.
Tanzania Exports
1)Cashew nuts
2)Tobacco
3)Cotton
4)Coffee
5)Beans
6)Maize
Baba lao kabisa
Gold
Almost but not the same. Kenya generates more revenue than tz. You can't compare cash crops with your worthless maize and beans.Give statistics please. Kenya and Tanzania almost Exports the same values of goods, but Kenya imports much more than Tanzania.
Umesahau Gold,?. You have nothing to export apart from valueless tea leaves compared to powerful Gold and Tanzanite.Almost but not the same. Kenya generates more revenue than tz. You can't compare cash crops with your worthless maize and beans.
Umesahau Gold,?. You have nothing to export apart from valueless tea leaves compared to powerful Gold and Tanzanite.
Chai. Ha ha ha haaaaa ... Sehemu kubwa ya chai inatoka Bongo. Na hivi karibuni Bongo wataacha kupeleka chai KENYA. Na kupeleka China na Urusi. Ndipo utajua Kenya ni ngapi dunianiHii tabia yenu ya kutoa sababu za kijinga pale mnapofanya vibaya ili kuhalalisha " failures" zenu ndio adui mkubwa sana wa maendeleo yenu, lazima muwe honest kwenu wenyewe ili muambiane ukweli.
Tatizo la Kenya sio ardhi ya kuzalisha chakula, tatizo ni Sera zenu za uchumi, ambapo ardhi yenu hiyo nzuri sehemu kubwa ipo mikononi mwa matajiri, ambao hawaoni faida ya kulima mahindi, mbona mnaongoza duniani kwa kilimo cha chai, vipi mshindwe kuzalisha chakula japo cha kujilisha wenyewe?.
Pili ni tatizo la rushwa na uzembe ktk serikali yenu, kila mradi unapoanzishwa haufanikiwi kwa sababu ya rushwa na uzembe, endapo miradi ya Galana kulalu na zile " dams" zingekamilika, shida ya njaa ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.
Badala ya kuambia huu ukweli, ninyi mumekazania ukame na jangwa kuwa ndio tatizo kubwa, ili kujiliwaza msionekane wazembe.
Mkayachukue hayo mahindi yenu mkayaingize makalioni ,tutayaagiza Zambia na Mexico pamoja na Brazil.Mbona hakuna sababu ya kuenda Mexico, labda kwa hayo mahindi ya njano, lakini hayo meupe hata mkitaka 20M bags, tuna mahindi Mengi sana