Kenya kuimport magunia milioni kumi na miwili ya mahindi. Tanzania, Mexico na wengine muwe tayari tunakuja kununua

Kenya kuimport magunia milioni kumi na miwili ya mahindi. Tanzania, Mexico na wengine muwe tayari tunakuja kununua

Nchi yenye uchumi mkubwa Africa mashariki wanakumbwa na njaa?
Hopeless.
Bora yetu kuliko nchi yenye rotuba ,madini tele,ufuo wa bahari mkubwa na raslimali nyingi za kipekee inayokumbwa na umaskini na mandeleo ya chini yaani LDC.
 
Tanzania huwa mnaexport nini ya maana isipokuwa minerals? Halafu tukiwaita lazy mnalia.
 
Wakenya ni wazembe sana. Nchi inawezaje import machinery,computer na magari tena iongeze hata chakula hapo?? Hata hiyo chai na maua inalimwa na wakenya wa asilia ya waingereza..Mikenya miafrika ni mizembe mno
Eish ,afadhali tungepewa Zambia as southern neighbors kuliko roho chafu na wahuni wachawi kama nyie mnaofurahia vifo vya binadamu mwenzako.
 
Umesahau products za Azam na Modewji zimejazana sauzi..hehe bakresa ndie anawapa mchele sauzi yote
Wakenya wanacheza na Tanzania hawa. Balance of Trade kati ya Tanzania na South Africa is in favor kwa Tanzania, tunawauzia zaidi South Africa kuliko tunavyonunua, hivyohivyo katika nchi zote za SADC. Ukienda Zambia, Msumbiji na Malawi, shelf zimejaa products za AZAM na MO tu.
 
Ingelikuwa umeorodhesha list ya mapungufu ya ccm hv mbna ningelikuona muelewa..lkn vile unalaririshwa mpka basi...dondocha ni dondocha tu...

Yani mpka CAG mnampinga..hv mnataka nn tena...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii tabia yenu ya kutoa sababu za kijinga pale mnapofanya vibaya ili kuhalalisha " failures" zenu ndio adui mkubwa sana wa maendeleo yenu, lazima muwe honest kwenu wenyewe ili muambiane ukweli.

Tatizo la Kenya sio ardhi ya kuzalisha chakula, tatizo ni Sera zenu za uchumi, ambapo ardhi yenu hiyo nzuri sehemu kubwa ipo mikononi mwa matajiri, ambao hawaoni faida ya kulima mahindi, mbona mnaongoza duniani kwa kilimo cha chai, vipi mshindwe kuzalisha chakula japo cha kujilisha wenyewe?.

Pili ni tatizo la rushwa na uzembe ktk serikali yenu, kila mradi unapoanzishwa haufanikiwi kwa sababu ya rushwa na uzembe, endapo miradi ya Galana kulalu na zile " dams" zingekamilika, shida ya njaa ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.

Badala ya kuambia huu ukweli, ninyi mumekazania ukame na jangwa kuwa ndio tatizo kubwa, ili kujiliwaza msionekane wazembe.
 
Bwahahaaaaaa.....wacha kulialia wewe...

Waarabu na wahindi watawakalia sana
Wakenya ni wazembe sana. Nchi inawezaje import machinery,computer na magari tena iongeze hata chakula hapo?? Hata hiyo chai na maua inalimwa na wakenya wa asilia ya waingereza..Mikenya miafrika ni mizembe mno
 
Give statistics please. Kenya and Tanzania almost Exports the same values of goods, but Kenya imports much more than Tanzania.
Almost but not the same. Kenya generates more revenue than tz. You can't compare cash crops with your worthless maize and beans.
 
Almost but not the same. Kenya generates more revenue than tz. You can't compare cash crops with your worthless maize and beans.
Umesahau Gold,?. You have nothing to export apart from valueless tea leaves compared to powerful Gold and Tanzanite.
 
Hii tabia yenu ya kutoa sababu za kijinga pale mnapofanya vibaya ili kuhalalisha " failures" zenu ndio adui mkubwa sana wa maendeleo yenu, lazima muwe honest kwenu wenyewe ili muambiane ukweli.

Tatizo la Kenya sio ardhi ya kuzalisha chakula, tatizo ni Sera zenu za uchumi, ambapo ardhi yenu hiyo nzuri sehemu kubwa ipo mikononi mwa matajiri, ambao hawaoni faida ya kulima mahindi, mbona mnaongoza duniani kwa kilimo cha chai, vipi mshindwe kuzalisha chakula japo cha kujilisha wenyewe?.

Pili ni tatizo la rushwa na uzembe ktk serikali yenu, kila mradi unapoanzishwa haufanikiwi kwa sababu ya rushwa na uzembe, endapo miradi ya Galana kulalu na zile " dams" zingekamilika, shida ya njaa ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.

Badala ya kuambia huu ukweli, ninyi mumekazania ukame na jangwa kuwa ndio tatizo kubwa, ili kujiliwaza msionekane wazembe.
Chai. Ha ha ha haaaaa ... Sehemu kubwa ya chai inatoka Bongo. Na hivi karibuni Bongo wataacha kupeleka chai KENYA. Na kupeleka China na Urusi. Ndipo utajua Kenya ni ngapi duniani
 
Mbona hakuna sababu ya kuenda Mexico, labda kwa hayo mahindi ya njano, lakini hayo meupe hata mkitaka 20M bags, tuna mahindi Mengi sana
Mkayachukue hayo mahindi yenu mkayaingize makalioni ,tutayaagiza Zambia na Mexico pamoja na Brazil.
Kama mlivyo buma na makorosho yenu.
 
UAE Wana mafuta sawasawa na hao mabongo wenye dhahabu na gesi na rutba pamoja na maliasili yoote.
 
Back
Top Bottom